Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

Drogba hana kipaji?? 😂😂😂 we jamaa kichwa chako ni kibovu au ukute humjui drogba unamjua Nicolas Jackson.
Huyu kijana kuna uzi mmoja alisema eti bacca wa yanga ni beki mbovu.

Tumsamehe tu hajui alitendalo
 
Drogba hana kipaji?? [emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa kichwa chako ni kibovu au ukute humjui drogba unamjua Nicolas Jackson.
Leta clip DROGBA akipiga chenga mabeki wawili[emoji16]
 
Huyu kijana kuna uzi mmoja alisema eti bacca wa yanga ni beki mbovu.

Tumsamehe tu hajui alitendalo
We hujui mpira alafu pili hujui kusoma.
Kuna tofauti kati ya jina Bacca na Boka, nadhani uzi ulikuwa unamhusu Boka, kutokana na mihemko yako iliyozidi maarifa unajikuta unachanganya madesse 😂😂😂

Soma kwa makini kuwa na uhakika na unachokisema ili usiaibike kwenye kadamnasi usiendelee kuwa kilaza mkuu.

Najua akili unazo ila hutaki kuzitumia tu.
 
Mmhhh mkuu

Zamani watu walikuwa wanakaba aloo khee

Unamuona baba ake na dogo Halaand? Alitaka kumpita Roy Keane matokeo yake alistaafu kwa lazima kwa kuvunjwa mguu pale pale yaani ukabaji wa hatari sana.

Saivi kwanza huwa wanakaba box to box sio man to man
Kama Sergio Ramos alivyomfanyia Mo Salah kwenye Ile final ya UEFA au sio.
 
We hujui mpira alafu pili hujui kusoma.
Kuna tofauti kati ya jina Bacca na Boka, nadhani uzi ulikuwa unamhusu Boka, kutokana na mihemko yako iliyozidi maarifa unajikuta unachanganya madesse [emoji23][emoji23][emoji23]

Soma kwa makini kuwa na uhakika na unachokisema ili usiaibike kwenye kadamnasi usiendelee kuwa kilaza mkuu.

Najua akili unazo ila hutaki kuzitumia tu.
Bacca hajui kupiga bass na hana control ni NINJA alie kwenye form tu
 
I salute you kinsmen.
Binafsi nimeanza kufuatilia soka la ulaya muda kidogo Liverpool die hard fans.

Lakini tuseme ukweli ligi za ulaya kwa sasa uwezo wa wachezaji umekuwa mdogo sana na hakuna vipaji kabisa asilia yaani ile pure talent hakuna kabisa.

Hasa hasa EPL nowdays huwa nafuatilia game za Liverpool basi tu sababu ya kuipenda team ila kwa sasa sioni zile pure talent kama zama zile ..

Tulikuwaga na Xabi alonso anazima pale na mascherano kati halafu Steven Gerald. Lakini leo tuna wataru Hendo,

Tukikuwaga na watu wa kazi Denis Bergkamp pale arsenal lakini leo tuna Gabriel jesus, na taka taka zingine kama Halaand pale Man City.

Hebu fikiria watu kazi kama Vidic,Rio ferdinand, Ashley Cole, patrice Evra,dirk kuyt, hawapo tena,

hebu wazia pale Qpl ya moto enzi zile yaani full kuenjoy.

Binafsi ukiniuliza nitakwambia kwa sasa CAF champions league ni bora kuliko Uefa ya sasa hivi . UEFA ya mwisho kuwa nzuri zaidi ni ile 2015/2016! Baada ya hapo ni maigizo matupu na ujinga ujinga.

Wachezaji nowdays wamekariri mifumo kutoka kwa makocha kama maroboti yaani hatuoni zile extra talent kutoka kwao .

Sikuhizi mchezaji kufunga goli la uwezo binafsi ni ngumu sana sana zaidi ya kufuata mfumo kama robot..

Naamini Neymar ndiyo talent ya mwisho ambayo ilibaki na ilitegemewa kufanya makubwa lakini ndio vile mnamuona tena mwenyewe kijana umri umesogea..

Nadhani ligi ya EPL ndiyo imeshakuwa ya kidwanzi sana kufuatilia hakuna tena soka la burudani kama zamani zaidi mifumo mipya ya hovyo wachezaji waifuate kama robot.

No wonder wachezaji kama Halaand wanacheza na wanaonekana bora sana, na wanafikia mpka kugombania tuzo kubwa kubwa ni ujinga.

Marefa wa epl ndio kituko kabisa hawana tofauti na huku Bongo wana VAR lakini bado maamuzi ni kichekesho.

Angalau Spain bado wana mpira wao asili kidogo unafurahia kuenjoy.

Afadhali hata ligi ya Tanzania kuna magoli yanafungwa unaona kabisa huu ni uwezo binafsi kabisa kuliko EPL ya sasa aseeh
Makocha ulaya kama gurdiola kiukweli anaharibu sana radha ya soka kwa mpira wake wa pasi na kutaka wachezaji wacheze kwa maelekezo yake tu kamamisukule na hii makocha wengi wameiga tunaona magoli tu bila radha ya mpira mm sasa hv hata champions league naangalia fainali tu
 
Hao ni wachezaji wa Pep wanacheza kama robots. Match zao zinaboa sana.

Angalia Madrid Ancelotti hana muda wa kufanya overcoaching na kutoa maelekezo kupita kiasi.
 
Wapi wewe umekuwa kizembe kivipi wakati watu wa bara lako wote wana ndoto ya kufikia huko unandika ujinga hapa tu . Simba na yanga ishakuaharibu kichwa
 
Hao ni wachezaji wa Pep wanacheza kama robots. Match zao zinaboa sana.

Angalia Madrid Ancelotti hana muda wa kufanya overcoaching na kutoa maelekezo kupita kiasi.
Hana mbinu tu
 
Back
Top Bottom