Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

ni kama dunia imeendelea kupoteza ladha yake. AI (Artificial Intelligence) inasababisha kila kitu kiende ki-roboti, roboti.

angalia mtu kama Haland kuna nini mule sasa!
Kuna kufunga kwani DROGBA alikuwa anajua chenga au PETER CROUCH?
 
Inshu siyo kuifunga timu flani hapo nataka u boost memory ya vipaji vilivuokuwepo kipindi kile hata kwa kuangalia you tube.
Hata Nigeria iliifunga Brazil. Hapo naongelea talents. Ndiyo maana Romario anaachwa na Scholari anamchukua Gaucho. Pirlo na Del Pielo wanaamia fainali ya 2006 ni pure talent zile
YouTube ata jobe wa Simba ni hatari sana
 
Nadhani hapa tumeshajua una matatizo makubwa sana either kiuchumi au kiakili

Jikite kwenye mada kama wenzio kijana naona umemuweka Darwin Nunez hapo bila shaka umeanza kuifatilia Liverpool juzi juzi .

Je wakongwe kama Asprin , Chaliifrancisco , na sisi malegend tusemeje? Uliza kwanza tulioshuhudia Liverpool ya ukweli kabisa.
Hahaha... ukimuuliza kama aliangalia fainali ya Liverpool na AC Milan UCL, kwa Liverpool iliyoitwa Liverpool kweli atajidai alikuwepo kabisa uwanjani...kumbe alikuwa tumboni bado

Utoto unamsumbua huyu 🤣🤣🤣
 
Hii mada haihusiani na mpira ila umeileta kwenye mpira ukiona mwanaume anaongelea sana hayo mambo ujue Kuna tatizo mahali huwezi kukuta mwanaume wa kweli anatajataja hayo mambo
Eeeeh naona Shoga umejitokeza baada ya mimi kuonyesha kukerwa na ufirauni wenu siyo? Ndo maana nimesikia harufu ya mavi, kumbe ni wewe umekuja kwenye comment yangu?
 
Mkuu unapoteza muda tu kubishana na hao jamaa kizazi cha takwimu hawaelewi

Kikubwa umeelewa hao wajinga waache
Sasa tusifuate takwimu labda kumpiga kichwa materazi ndiyo kipaji namba hazidanganyi na individual achievement pia
 
Legends wengi wanasema mpira uliishia 2010... Baada ya hapo massive transformation ikavamia mpira kupindukia kuanzia technology even tactics + Techniques kuhusu mpira kwa ujumla.
Mara nyingi huwa napenda kutizama Copa America na ligi za huko kwa wahuni ndio huwa naona kile kimepotea ulaya.
Sema Barcelona Bora iliwika miaka hiyo hiyo 2008-14 hapo ndo tuliona pass zinavopigwa hatati sana
 
Kipaji na mafanikio kamzidi
Cha kwanza kwangu Mimi hapana.
Kuhusu mafanikio hiyo ni debatable. Kama ni mafanikio ya pesa ni jinsi unavyo bargain mikataba na nguvu ya ushawishi ya management yako kukupandisha hadhi. Mane alikuwa anakula pesa ndogo kuliko bench warmers wengi pale Liverpool.
 
Back
Top Bottom