Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Do you know how Worthy is the guy? Au unadhani ni Sele Bonge mkuu?Mbona hii ni too low sana kwa Biden
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Do you know how Worthy is the guy? Au unadhani ni Sele Bonge mkuu?Mbona hii ni too low sana kwa Biden
GIA TU ni kitu gani? Naomba unieleweshe.
Naona kama unajipinga mwenyewe, nikilinganisha hiki usemacho na comment za mwanzoungekuwa unafuatilia majgit ya magufuli kipindi kile ungeelewa.
Jiuluze tu kwanini kawekewa vikwazo mpishi na sio waziri?
marekani wameshafanya ujasusi na kugundua hyo mpishi ndo INJINI ya Putin.
Ndo maana nimesema "sio kila mpishi ni mpishi_
Naona kama unajipinga mwenyewe, nikilinganisha hiki usemacho na comment za mwanzo
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Huyo siyo kama mpishi wa Tundu Lisu bwashee!Mbona hii ni too low sana kwa Biden
Wanajeshi wa Russia wenye mabunduki waishiwa chakula na mafuta huko Ukraine.Sasa Putin Ana athirika vipi na hivyo vikwazo?
mwenzio kashika bunduki wewe unaweka vikwazo?
Marekani aache uoga aingie wadundane.
Wanajeshi wa Russia wenye mabunduki waishiwa chakula na mafuta huko Ukraine.
Vita vya dunia ya sayansi hivi bwashee!
Vikwazo ni vita pia kama hujui huwezi mchagulia mtu mnapopigana kuwa oh usiokote jiwe kunipiga nalo tupigane ngumi tuKuwekeana vikwazo ni vita ya kizamani
Ingieni ulingoni tuone mbabe nani
Vikwazo ni vita pia kama hujui huwezi mchagulia mtu mnapopigana kuwa oh usiokote jiwe kunipiga nalo tupigane ngumi tu
Usiiwe mtumwa wa historia mtu hawapigani ili watu wamuanaje anapigana kushinda vitaVita zote alizopigana marekani alitumia vikwazo?
watu watakupima kulingana na walivyokuzoea ukipigana.
Ule ubabe wa marekani upo wapi?
ni wazi marekani anamuogopa mrusi huo ndo ukweli
Jamaa lipo shitshole country linapingana na viongozi wa superpower.Kwamba wale magenerals wote wa Marekani, wachumi wote wa Marekani wewe unaona ni waduwanzi kabisa😃😃😃😃😃 yaani mtu wa third world country actually a shithole one!!!!
Wacha niamke nikafungue garage kwanza
Urusi ni dhaifu.Tatizo hatujawahi kuiona marekani HII..
Marekani ni watu wa kusoma upepo.
Sipendi vita ila najua marekani Kama urusi ingekuwa nchi dhaifu wangeshapeleka majeshi
Hata Putin ana experience kubwa lakini siku ya 9 leo anachezeshwa singeli na wazalendo wa Ukraine!Jamaa lipo shitshole country linapingana na viongozi wa superpower.
Tena linampinga mtu kama Biden ambaye ametumia muda mrefu kupata urais yaani biden ana experience kubwa sana
Usiiwe mtumwa wa historia mtu hawapigani ili watu wamuanaje anapigana kushinda vita
Unable wa Marekani uko kwenye vikwazo angemuogopa asingemuwekea vikwazo hadi TV yake mrusi Ya RT kingamuzi cha Azam imeondoka Urusi kamambabe airudishe nakupa mfano mdogo tu Marekani imeamua TV za Urusi zisionekane Popote duniani iispokuwa Urusi kwao na kaweza .Mrusi hana ubavu wa kurudisha TV zake hewani
Urusi ni dhaifu.
Siku 9 bado wanambwelambwela tu na kuishia kuuwa raia wasio na hatia!
Putin hajachezeshwa singeli.Hata Putin ana experience kubwa lakini siku ya 9 leo anachezeshwa singeli na wazalendo wa Ukraine!
Tatizo lake anasikiliza sana BBC na CNNMarekani wameua Mara ngapi watu wasiokuwa na hatia?
Hata Putin na Rusia hana dharau hizi ulizonazo kwa Marekani. Moja ya makosa makubwa ni kudharau movement anayofanya adui yako na kuiona ya kiduanzi.Unasema mpishi tu?! Nadhani huelewi thamani ya huyo unayemuita mpishi tu.
Huyo mtu asipolindwa kiuchumi, kisiasa na kijamii, kumuua Putin ni kitu cha dakika moja tu. Maana yake ni kwamba huyo ni mtu muhimu lakini kumuwekea vikwazo ni uduwanzi.
Marekani anatapatapa sasa na anaishia kujidhalilisha tu!
Ameishiwa chakula.Putin hajachezeshwa singeli.
Vita sio PlayStation , mambo ya logistics ni muhimu na huwezi kupiga piga tu uraia wananchi wengi ndio maana unakuta wamesimama nje ya kiev kwa muda mrefu.
Tuweke record sawa kwanza.