johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe unasikiliza TBC na channel ten!Tatizo lake anasikiliza sana BBC na CNN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unasikiliza TBC na channel ten!Tatizo lake anasikiliza sana BBC na CNN
Vikwazo vinapiga pia mfano kuna jirani alikuwa mkorofi kapanda nyumba park Haina akawa analaza gari kwa jirani yake bure. WAKAJA wakagombana.Jirani akampiga marufuku Kulaza gari yake kwake ikabidi awe anailaza ofisi ya CCM ambayo iko mbali umbali wa kilomita moja ambako alikuwa aklpiia shilingi elfu Tatu kwa sikuVikwazo hata wewe unaweza kumuwekea mtu unayemuogopa
Kama kuacha kuongea nae lakini sio kumpiga
Vikwazo vinapiga pia mfano kuna jirani alikuwa mkorofi kapanda nyumba park Haina akawa analaza gari kwa jirani yake bure. WAKAJA wakagombana.Jirani akampiga marufuku Kulaza gari yake kwake ikabidi awe anailaza ofisi ya CCM ambayo iko mbali umbali wa kilomita moja ambako alikuwa aklpiia shilingi elfu Tatu kwa siku
Kuifuata gari yake anaitia bodaboda anawalipa elfu nne kila siku akipaki bodaboda, akiifuata bodaboda akaona isiwe tabu akahama akaenda kupanga kwingine.Vikwazo vilimshughulikia na mibavu yake hadi alikimbia mtaa
Hujafuatilia Mali zake.za familia na ndugu wa karibu zimekuwa frozen na hawaruhusiwi kusafiri nchi yeyote ya Ulaya au Marekani.Wamewekewa vikwazo vya kusafiri .watakuwa tu wanasafiri ndani ya mbagala hadi gongolamboto ya Urusi tuShida ni kuwa hivyo vikwazo vinamuumiza Putin.?
vipi na yeye akikomaa na chuma Cha mzungu?
yeye anaua wewe unaweka vikwazo
Kutwa unamuwaza Tundu Lissu kuliko hata unavyomuwaza mume wako.Huyo siyo kama mpishi wa Tundu Lisu bwashee!
Vitu vya kawaida saana acha uoga.Do you know how Worthy is the guy? Au unadhani ni Sele Bonge mkuu?
Mpishi ni mpishi tu. Kwani dereva wake kumuua Putin inachukua dakika ngapi? Au daktari wake? Au mlinzi wake?Unasema mpishi tu?! Nadhani huelewi thamani ya huyo unayemuita mpishi tu.
Huyo mtu asipolindwa kiuchumi, kisiasa na kijamii, kumuua Putin ni kitu cha dakika moja tu. Maana yake ni kwamba huyo ni mtu muhimu lakini kumuwekea vikwazo ni uduwanzi.
Marekani anatapatapa sasa na anaishia kujidhalilisha tu!
Wewe unasikiliza TBC na channel ten!
ulingoni ndo vita za kizamani...zamani ilianza ngumi->mawe->fimbo-> mikuki-> mapanga->mishale->risasi->grenade->mabomu->Nuclear->Bioweapons->VikwazoKuwekeana vikwazo ni vita ya kizamani
Ingieni ulingoni tuone mbabe nani
ulingoni ndo vita za kizamani...zamani ilianza ngumi->mawe->fimbo-> mikuki-> mapanga->mishale->risasi->grenade->mabomu->Nuclear->Bioweapons->Vikwazo
Inayofuatia hapo ni teknolojia tu, yani ukizingua asset zote za kidijitali zinapotea, hupati internet, traffic & air control zinahakiwa, umeme unazimwa yaani inakuwa ni chaos juu ya chaos
Hujafuatilia Mali zake.za familia na ndugu wa karibu zimekuwa frozen na hawaruhusiwi kusafiri nchi yeyote ya Ulaya au Marekani.Wamewekewa vikwazo vya kusafiri .watakuwa tu wanasafiri ndani ya mbagala hadi gongolamboto ya Urusi tu
RUSSIA ya msasani labdaWanajeshi wa Russia wenye mabunduki waishiwa chakula na mafuta huko Ukraine.
Vita vya dunia ya sayansi hivi bwashee!
Mpaka anakuwa mpishi wa Putin, atakuwa ana kazi zaidi ya moja.Yani USA ni wapumbavu unapiga sanctions mpishi ha ha ha ha ( tuko nyumer yako ukigeuka hola)