NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
We jamaaa ni noma! HahaaaUmeuliza na kujipa jibu. Sasa kampatie Putin asahihishe
Huyo mpishi ni tajiri zaidi ya Bakhersa na Mo kwa pamoja.Yani USA ni wapumbavu unapiga sanctions mpishi ha ha ha ha ( tuko nyumer yako ukigeuka hola)
Mpishi mwenye private jet na utajiri kibao mkuuDaah, huyo ni mpishi tu, je wafagia vyoo nao wana utajiri zaidi ya 99% ya waTz?