Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
mkuu hicho chumba kipo wapi nije kukionaWakuu kwema? Tuchangamshe kichwa kidogo.
Mpo watu 100 kwenye chumba kimoja, na kuna milioni 100 za kushindaniwa. Ili uweze kunyakua mahela hayo unatakiwa kufanya kitu kimoja ambacho utawashinda wengine wote.
Ungefanya kitu gani?
Mimi ningekaa kimya tu, maana watu asiku hizi hawajui kunyamaza, ni kama wanawashwa hivi, bla kupigizana kelele hawaoni raha, kitu kidogo tu keleeleeee mtindo mmoja.
Wewe ungefanya nini?
Maeneo fulani hivi, ukifumba macho tu unakionamkuu hicho chumba kipo wapi nije kukiona
Kipi hiko?Ningefanya kitu kimoja tu ningeenda kuzichukua
Ni zoezi la kutambua uko vizuri kwenye kufanya kitu gani Mkuu, kama hujui kipaji chako huu ndio muda wa kuijuliza kitu gani uko vizuri kukifanya bila nguvu kuliko watu wengineAmka utajikojolea. Hakuna pesa za namna hiyo