Wana JF hapa mlimani city kwenye Kili Music Award Mpoki ni noma
Anashushua sana watu mpaka wengine wanaona noma mbele ya kadamnasi.
Mzee Yusuph mziki haachi ila anaoa tu, ni maneno yake na anamshangaa Diamond kuingia na Bouncer eti basi hujiamini unamaadui awe anampa mshahara tarehe 12 otherwise atamuua,
Naona kama utani umezidi sana atakuwa amekunywa kuliko kawaida.
Eti Maimatha ananyonyesha lakini kayabusti manyonyo yapo kama hanyonyeshi
swr wangu rich paul umekaa upande gani jaman mbona sikuon hun wanguEti tusiandikie mate wakati Pen aliekuwa wa Diamond yupo.
Acha awape makavu live...!!