Mpoki ni balaa

Mpoki ni balaa

Rich Pol

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
7,874
Reaction score
5,685
Wana JF hapa mlimani city kwenye Kili Music Award Mpoki ni noma
Anashushua sana watu mpaka wengine wanaona noma mbele ya kadamnasi.
Mzee Yusuph mziki haachi ila anaoa tu, ni maneno yake na anamshangaa Diamond kuingia na Bouncer eti basi hujiamini unamaadui awe anampa mshahara tarehe 12 otherwise atamuua,
Naona kama utani umezidi sana atakuwa amekunywa kuliko kawaida.
 
Acha awape makavu live...!!
 
Eti Maimatha ananyonyesha lakini kayabusti manyonyo yapo kama hanyonyeshi
 
Eti tusiandikie mate wakati Pen aliekuwa wa Diamond yupo.
 
MPOKI NI Mchekeshaji mzuri.
Lakini kwa leo ame bore amo bore kuliko maelezo !!!!
Ana attack personal characters za watu !
Ameshindwa ku-match na huyo mtangazaji wa kike ambaye anaonekana hakuandaliwa
kwenda sambamba naye 1
binti wa watu anafika mpaka kumwambia Mpoki unanichosha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kitu gani hiyo ???
Eti Maimatha ananyonyesha lakini kayabusti manyonyo yapo kama hanyonyeshi
 
Utani mwingi hadi unaboa. Pamoja na kwamba ukumbi una taa nzuri naona kama nazo zimekuwa too much hadi vision ya picha inakuwa mbaya. Star Tv inaoneka vibya
 
hahahahaha jose mara kasema anakaa mbezi beach mpoki kampa lake umejenga?,???
 
Makavu gani ? Mfano ile timu ya waimbaji wa taarabu anaiambia imejipamba vizuri, ukikutana nao asubuhi utawapa shikamoo !!!!!! Kwa maana ni wazee ? Hawakupaswa kujipamba ?
Acha awape makavu live...!!
 
Huyu dada nae hamna kitu wamefanya onyesho liwe kama msiba naamini mlioko huko mnasikitikia kiingilio chenu du.
 
Ma mc hawajachangamsha tukio. Mpoki anaboa anafanya utani sana kama show ya mitaani.
 
Back
Top Bottom