Ndo ujue jamaa anachekesha,hao wanaolalamika alikuwa anaumbua watu ndo walikaa hadi mwisho wa show..unadhani bila mpoki pale kuna mtu angebaki pale kwa hali ilivokuwepo?
Hakika wabongo ni wanafiki.
umeongea ukweli mkuu...kuna moja host alikuwa KEVIN HART...MWANZONI KABISA ALISEMA ''NO ONE IS SAFE TONIGHT''...CELEBS WENGI WALIPIGWA MADONGO SIKU HIYO....THE FACT IS IF YOU KNOW SOMEBODY IS A COMEDIAN TAKE IT EASY AND BE PREPARED FOR IT..THOUGH SOMETIMES HE MAY CROSS THE LINE AND BE OFFENSIVE..HASIRA ZAKO WENGINE WANA ENJOY...
Wana JF hapa mlimani city kwenye Kili Music Award Mpoki ni noma
Anashushua sana watu mpaka wengine wanaona noma mbele ya kadamnasi.
Mzee Yusuph mziki haachi ila anaoa tu, ni maneno yake na anamshangaa Diamond kuingia na Bouncer eti basi hujiamini unamaadui awe anampa mshahara tarehe 12 otherwise atamuua,
Naona kama utani umezidi sana atakuwa amekunywa kuliko kawaida.
Binafsi uMC wa Mpoki kwa jana ulikua 50 50 ila kwa yule mdada jina lake silikumbuki pale waandaaji walizengua sana kumuweka.
Anaitwa shadee,.
Hahahahah kwani wazee hawataki kucheka?
Alichokuwa anafanya mpoki ni public character assasination ambayo akipatikana mjuaji anaweza kumfungulia kesi ya madai ya damage.Pia nakubaliana na wengi kuwa yule dada aliyekuwa MC pamoja na mpoki,hakuchangamka,alikuwa kama kalazimishwa kuwepo,pia hana uzoefu na shughuli ile.Next time tafuta watu kama Maimartha,Ben Kinyainya wanaweza kupendezesha zaidi.Asa si ndio comedy yenyewe mkuu Kigowgooo?
Chido hakusema HIV kama ugonjwa alimaanisha Hatari Imeingia Vitandani (HIV) ni utani tuu
Alichokuwa anafanya mpoki ni public character assasination ambayo akipatikana mjuaji anaweza kumfungulia kesi ya madai ya damage.Pia nakubaliana na wengi kuwa yule dada aliyekuwa MC pamoja na mpoki,hakuchangamka,alikuwa kama kalazimishwa kuwepo,pia hana uzoefu na shughuli ile.Next time tafuta watu kama Maimartha,Ben Kinyainya wanaweza kupendezesha zaidi.
mwakani wamuweke tena jamani mie alinifurahisha sanaaaaaa