Mpoki ni balaa


you have a point......kuna madhaifu fulani fulani yalikuwepo..but generaly ni comedian mzuri..
 

hiv/aids is a very sensitive subject of which to most most most people dont want a joke about it whatsoever..i understand that...and that comes the problem..sensitivity issues.....do you think he real meant to discriminate hiv victims?absolutely i hope not....
 

a comedian can make fun of anything even his blind dad, deaf mom, HIV positive aunty or a gay cousin

you have to take a humour out ofthe comedy, otherwise usiwepo pale... not all jokes zinamtarget kila mtu, but the purpose of comedy ni kukufanya ucheke

i dont think jokes za ukimwi ni mbaya, na hasa ya mpoki kwasbabu ameiweka as a warning

tuna shida kubwa ya uelewa watanzania, nadhani ndio maana tuna IQ ndogo sana duniani
 
Kiukweli jokes hizi zinategemea na mazingira uliyopo. Hata maraisi hutaniana wanapokutana wakiongea. Lakini jokes watakazofanya wakia on-air ni tofauti kabisa na zile watakazofanya off-air. Mfano, kitendo cha Mpoki leo kusema familia ya kina Bonny kuwa ni ya wabahili kuliko watu wote sijakifurahia kabisa. Tena bila kutaja ubahili wao ni upi!! Hata Bonny mwenyewe amekwazika sana. Si yeye tu na wengine pia. Ni bora angemtania Bonny pekee yake kuliko kuweka na wadogo zake wote.
Bonny ni miongoni wa ma dj wachache sana hapa Bongo wenye heshima kubwa kutokana na sanaa yake. Hivyo kusema tu ni bahiri mkubwa bila kuelezea walau kidogo ni kwa vipi ni bahiri. Kwa kweli unakuwa hujamtendea haki. Kwa hili la Bonny limenikwaza hata mimi, kwa sababu namjua Bonny in personal.
 

mkuu kwenye red ngumu kumeza...acha nikale kidogo,,niamke saa moja nimemcheki floyd ''the money team'' mayweather
 
TF my friend you are a missing a point. Comedy is based on a fact out of which you make funa/joke. Hizo ndo jokes zilizoenda shule. Vinginevyo hizo ni jokes za kuwasimulia watoto wa kindergaten.

Mpoki arudi tena aangalie hiyo show yote. Anaweza kuonq sehemu alizoteleza kama atakuwa ametuliza. Hii hwitaji sijui IQ wala nini qfterall hizo jokes wala siyo rocket science...
 

ajari kazini...next time inabidi apigwe msasa on how to be proffessional...ila mwisho wa usiku comedy huwezi mfurahisha kila mtu maana huambatana na kejeli,dhihaka,mizaha na masihara mengi...take it easy as long as ukijua hakumaanisha...
unajua kitu kibaya ni kumaanisha unachoongea..usiku mwema mkuu...
 
kama mpoki anaingia jf watu wengine wanakuwa embarrased na comedy zako kwa hiyo jifunze kuwa na mipaka.....wewe ni mkareee
 
Mi huwa hata sioni mpoki anachochekeshaga zaidi ya kuongea mautumbo
 
Duuuh,kweli we jamaa ni mbishi.


Sibishi ili tu nibishe ama nijibishane na mtu, sasa katika hizo jokes anazotoa Mpoki kuna nini cha kuchekesha? Mi naona huzuni tu na kumsikitika yeye anavyojitahidi kuchekesha watu wazima.
 



That's why nimesema huyu mtu anahitaji msaada.....!
 
Ila naona kama DJ Bonny Luv alichukia kuambiwa mbahili!!

Basi atakuwa naye ana tatizo la ushamba wa kibongo wa kugawa hela bila sababu. Kisheria kila senti inayoingia inatakiwa iwe accountable wakati wa kutoka kwa sababu inatakiwa kutolewa taarifa TRA. Sasa akisifiwa kuwa yeye yuko makini na matumizi ya hela zake, ndo tusi? Mwambieni aache ushamba.
 

kazi ya mpoki ni ......
 
...wabongo wako too reserved,ndo maana wanapenda kuimbwa kwenye miziki na kusifiwa baas,zaidi ya hapo ukimwambia we hunahela hata kama kweli anamaind.,kila mtu anataka asifiwe anazo,mzuri,hb n.k...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…