Mpoki ni balaa

Mpoki ni balaa

hakuna mpoki anazingua bwana...mpaka watu wanaogopa kupanda kwaajili yake bwana...

kuna sehemu ame cross the line kwasababu HAYUKO kiproffessional...lakini kwa ujumla watu wengi wamemkubali..so target achieved...
 
Sijafaham kwa nini watu wanamshadadia mpoki sijuwi kwa sababu kawa kaa kichwani lakini ukweli ni kwamba kachemsha vibaya .Hivi hawa waandaaji bora wangechukuwa mfano toka Tusker Project Fame waone jinsi gani hawa washereheshaji wanavyotakiwa ku_host show , kwa uelewa wangu unapokuwa unasherehesha wewe kama uliye kabidhiwa mpini sidhani kama unahaki ya kumueleza mtu kitu kinachomgusa negatively halafu uje useme ni komedy hapa ni kupotezeana radha ya sherehe.
 
Sasa seriously ucku Mwema ata nimezima TV.. nalog out...
 
eti kama mgeni mwalikwa hajapiga makofi basi ana HIV, huu ni upuuzi. Anakuwa anajeruhi furaha na hisia za watu. Pumbaffuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....
 
Sijafaham kwa nini watu wanamshadadia mpoki sijuwi kwa sababu kawa kaa kichwani lakini ukweli ni kwamba kachemsha vibaya .Hivi hawa waandaaji bora wangechukuwa mfano toka Tusker Project Fame waone jinsi gani hawa washereheshaji wanavyotakiwa ku_host show , kwa uelewa wangu unapokuwa unasherehesha wewe kama uliye kabidhiwa mpini sidhani kama unahaki ya kumueleza mtu kitu kinachomgusa negatively halafu uje useme ni komedy hapa ni kupotezeana radha ya sherehe.

Comedy may be divided into multiple genres based on the source of humour, the method of delivery, and the context in which it is delivered.
These classifications overlap, and most comedians can fit into multiple genres. For example, deadpan comics often fall into observational boom comedy, or into black comedy or blue comedy to contrast the morbidity or offensiveness of the joke with a lack of emotion.

[h=3]Comedic genres - Wikipedia, the free encyclopedia[/h]
 
eti kama mgeni mwalikwa hajapiga makofi basi ana HIV, huu ni upuuzi. Anakuwa anajeruhi furaha na hisia za watu. Pumbaffuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....

ulimsikiliza kirefu cha HIV alichotoa...?? stop being so sensitive.....one thing I agree about Mpoki's critics is that the dude lacks proffessional ethics...
 
Hicho kirefu kilipunguza nini? basi wewe hukumuelewa au una akili kama zake. Alisema HIV maana yake HATARI IMEINGIA VITANDANI, sasa hapo kapunguza makali au kaboronga zaidi. Alitakiwa a-neutralize kwa namna nyingine kabisa. Hapo ni kama kaweka msisitizo kuwa waliokataa kupiga makofi tayari wana hatari waliyoipata vitandani. Pumbaffuuuuuuu..
 
super sensitivity and one directional minded...
 
there is nothing either good or bad but thinking make it so....

Comedy may be divided into multiple genres based on the source of humour, the method of delivery, and the context in which it is delivered.
These classifications overlap, and most comedians can fit into multiple genres. For example, deadpan comics often fall into observational boom comedy, or into black comedy or blue comedy to contrast the morbidity or offensiveness of the joke with a lack of emotion.

Comedic genres - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Utani mwingi hadi unaboa. Pamoja na kwamba ukumbi una taa nzuri naona kama nazo zimekuwa too much hadi vision ya picha inakuwa mbaya. Star Tv inaoneka vibya
haikua too much... he did the best for show which otherwise would be boring

nimeangalia show yote, bila mpoki pangeboa
 
Hicho kirefu kilipunguza nini? basi wewe hukumuelewa au una akili kama zake. Alisema HIV maana yake HATARI IMEINGIA VITANDANI, sasa hapo kapunguza makali au kaboronga zaidi. Alitakiwa a-neutralize kwa namna nyingine kabisa. Hapo ni kama kaweka msisitizo kuwa waliokataa kupiga makofi tayari wana hatari waliyoipata vitandani. Pumbaffuuuuuuu..
una matatizo makubwa sana ya uelewa na unadhani kila mtu anahitaji kuwa na kimini cha upeo kama wewe... he made the best message today ya HIV
 
Kwa mtamzamo wangu. Mpoki anahitaji guidance. Is a true comedian, kwa maana ana flow vizuri. Ila tu anavuka mstari.
Kwa kibongo hatujazoea mtu kukuongelea weakness zako in a comedy way. Especially in public. Mfano alisema,'Halafu siku hizi Ray kama unazidi kuwa mweupe!!' It's a fact but in Tanzanian culture, mwanaume huwa hajichubui ngozi. Ndo maana Ray ali mind. Kama ulisoma body language!
Mfano mwingine alipokuwa anataja sifa za Asha Baraka, mojawapo alisema huyu Dada Asha ni dumejike. Kwa namna moja ni kama sifa ya kuwa ni mwanamke shupavu lakini kwa namna nyingine mtu anaweza tafsiri kuwa ni msagaji!
Money Stunna kuna mahali ame quote comedians wa Amerika kwenye BET na MTV. Kiukweli culture ya America na Tanzania ni usiku na giza. So hivi vitu huwezi uka copy comedy ya Amerika ukaileta Manzese inaweza isi make sense hata kidogo. Vivyo hivyo kwa comedy ya Ifakara ukaipeleka Boston.
Mwisho wa siku narudia Mpoki anahitaji kujua cultures za watu esp kama event ni multi cultural. Kwa sababu hata kiyendo cha kumuita Mzungu halafu ukatoa joke kwa kiswahili inaweza kutafsiriwa kuwa umekuwa offensive...
 
super sensitivity and one directional minded...

mpoki namkubali.
lakn hapo kachemka.defn. ya HIV aliyotoa haibadilishi maana.
ameweka wenye tatizo la HIV kwenye kundi lisilotakiwa/kuhitajika - kunyanyapaa.wakiwemo watoto waliozaliwa na HIV,wanawake walioambukizwa kwa kubakwa,walioambukizwa kwa kuhudumia wenye tatizo hilo n.k
ulimi hauna mfupa kama ni mimi ningeomba radhi kwa walioguswa
 
una matatizo makubwa sana ya uelewa na unadhani kila mtu anahitaji kuwa na kimini cha upeo kama wewe... he made the best message today ya HIV

huwezi cheka ukiangalia comedy unaNjaa.............
 
Back
Top Bottom