dhk1
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 937
- 556
mmmmmmmh mbna wang cjamweka kwene chupa ase
Anaendaga kununua nyanya kitunguu na n.k hongera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmmmmmh mbna wang cjamweka kwene chupa ase
Hazingui anafuraisha na kuburudisha.
wengi wanaenda usimsikilize huyo
Anaendaga kununua nyanya kitunguu na n.k hongera
kwan tatzo jaman?
Aaah! C mbaya bt
bt wat?
Watu wa ZeComedy kwa kweli comedy zao mpaka ucheke inabidi uvute bangi ama kulewa gongo. Anyways, poleni mnaochekeshwa na jokes za kitoto!
Bado categories ngapi? Mida ya kulala hii
Hahahaha we kalale tu
Wadau ucku Mwema
Tatizo la mpok sifa zimezid Sana Anapitiliza sna mf,kuteleza kwa Vanesa Mdee ye anafanya sifa sasa wakat ile bahat mbaya,Ukwel sifa zikizid Unaharib Ata izo za BET haziko ivyo tumeshaziona nying tu.Nimeona Martin Kadinda alikasirika kutaniwa!. Kwa watu kama mpoki ni kucheka na kuondoka tu.
g9t 2!
Nimerudi kwenye coach
Watu wa ZeComedy kwa kweli comedy zao mpaka ucheke inabidi uvute bangi ama kulewa gongo. Anyways, poleni mnaochekeshwa na jokes za kitoto!
hahaha m nmekmbia bt ucngz cna