Mpoozo wa Simba kipindi cha pili Bado haujatafutiwa dawa

Mpoozo wa Simba kipindi cha pili Bado haujatafutiwa dawa

Tuwapongeze tu kwa kushinda lakini safu ya ulinzi ya Simba Ina shida na shida iyo uwezi kuiona wanapocheza na hizi timu za madaraja ya kati zenye uwezo mdogo but shida iyo utaiona wanapokutana na timu zinazojielewa na kujua udhaifu wao ulipo,,mechi ya Leo Kagera awakuwa makatili kwenye eneo lao la mwisho but wametengeneza nafasi ambazo kwa timu iliyokomaa na wachezaji waliokomaa hii Ngoma ilikuwa sare ya magoli mengi tu
 
Back
Top Bottom