Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Tatizo la Simba ni kipindi cha pili. Magoli yote tuliyofungwa, kama tungekuwa tunacheza na timu ngumu, tungepigwa nyingi.Ridhika we kolo
Timu imechezwa vizuri mno
Mnataka mfanyiwe nini
Ni weakness ndogo tuTatizo la Simba ni kipindi cha pili. Magoli yote tuliyofungwa, kama tungekuwa tunacheza na timu ngumu, tungepigwa nyingi.
Kipindi cha pili hawavutii kabisa ukiwaangalia.Sahihi, Hii Simba inapata matokeo kwa njia sisizoridhisha kabisa.
Kabisa, kuna kitu lazima kifanyike pale mbele.Kipindi cha pili hawavutii kabisa ukiwaangalia.