Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Hesabu ilikupiga chenga ukiwa kidato cha ngapi?SIMBA; 1.5BIL KUTOKA CAF +45MIL ZAWADI YA MAMA SAMIA TOTAL=1.97BIL
Tuwekee hapo uyo mdhamini anawapa shingapi, Visit Tanzania ndio mdhamini? Anawapa shingapi bwana mjuaji?Hesabu ilikupiga chenga ukiwa kidato cha ngapi?
Simba wao hawana mdhamini? Zawadi ya mdhamini ina uhusiano gani na kufuzu robo fainali kwa hizi timu?
Mdhamini anauhusiano gani na zawadi ya kufuzu kwenda robo fainali?Tuwekee hapo uyo mdhamini anawapa shingapi, Visit Tanzania ndio mdhamini? Anawapa shingapi bwana mjuaji?
Yanga akuna wapuuzi dizaini yako, usijipendekeze wewe koloKila mtu apambane timu yake iwe Bora, kwa ujinga huu ndo maana vijijini watu hawana maendeleo, wakishajiona wote maskini wanaridhika na Hali zao hakuna anayewaza kujinasua ni kuombeana uchawi tu...
YANGA; 820MIL, KUTOKA CAF+ 1.5B KUTOKA WADHAMINI WAO KAMPUNI YA HAIER +40MIL ZAWADI YA MAMA SAMIA TOTAL=2.36BILMdhamini anauhusiano gani na zawadi ya kufuzu kwenda robo fainali?
Ngoja nikurudishe darasa la kwanzaSIMBA; 1.5BIL KUTOKA CAF +45MIL ZAWADI YA MAMA SAMIA TOTAL=1.97BIL
Hadi ku.....Mpaka sasa timu ya wananchi inaongoza kila kitu
Ishara ya ushamba na uzumbukuku. Yanga kama akili ya kuku.Yanga kwa nini mnapenda attention sana?
Mnapenda kila alilofanya Simba muonekane zaidi?
Ni sawa na mtoto wa tajiri, wenzake wamefaulu wamepata zawadi yeye anaenda kuchota hela ndani, eti wako sawa.
Uzi umeuelewa au unatujazia saver tu hapa, umeambiwa pesa ambayo kila timu itaipata baada ya kutinga robo fainali, aijalishi ni kutoka caf, ni pesa inayotokana na vyanzo vyote kuanzia wadhamini wa timu husika.Mdhamini anauhusiano gani na zawadi ya kufuzu kwenda robo fainali?
Kila mtu ashinde mechi zakeNi vizuri pia tukawajuza umate umate utakaoingizwa na hizi timu 2 baada ya kutinga hatua ya robo fainali ya kombe la shirikisho na klabu bingwa afrika, mgawanyo ndio huu...
Haier ni Fistoni kalala Mayele🤣🤣🤣Hiyo haier ni nini?
Umemaliza kila kitu🙏🙏🙏YANGA; 820MIL, KUTOKA CAF+ 1.5B KUTOKA WADHAMINI WAO KAMPUNI YA HAIER +40MIL ZAWADI YA MAMA SAMIA TOTAL=2.36BIL
Mdhamini wa Simba VISIT TANZANIA ni BURE anatangaza utalii wa nchi sio kwa malipo
Bure hio Simba hawalipwi hata 100tunajua michuano ya kimataifa wadhamini wao ni Visit Tanzania basi tuwekee wanawapa shingapi
Simba inamtesa hadi kachanganyikiwaaaa, yaan hajui ashike lipi aache lipi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hesabu ilikupiga chenga ukiwa kidato cha ngapi?
Zawadi ya mdhamini ina uhusiano gani na kufuzu robo fainali kwa hizi timu?
Simba wao hawana mdhamini?
Tena umepatiaaa haswaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga kwa nini mnapenda attention sana?
Mnapenda kila alilofanya Simba muonekane zaidi?
Ni sawa na mtoto wa tajiri, wenzake wamefaulu wamepata zawadi yeye anaenda kuchota hela ndani, eti wako sawa.