Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Upuuzi mtupu, kwa akili za namna hii vijana mtaishia kubishana ujinga na umri unasogea bila hata mkeka wa kulalia.
Nilitarajia kuona pesa ambayo kila timu imepata kutoka CAF kufikia hatua waliopo, badala yake unaleta viraka ili tu upate matokeo yanayofurahisha akili yako na wajinga wenzio.
So sad!