Kwenye mashindano gani?Mpaka sasa timu ya wananchi inaongoza kila kitu
Mkuu acha uzwazwa visit Tanzania sio mdhamini wa simba, mdhamini ni Mbet na anatoa Bonasi kwenye mashindano ya kimataifa kama ambavyo sportpesa anatoa bonasi kwa utopolo.YANGA; 820MIL, KUTOKA CAF+ 1.5B KUTOKA WADHAMINI WAO KAMPUNI YA HAIER +40MIL ZAWADI YA MAMA SAMIA TOTAL=2.36BIL
Mdhamini wa Simba VISIT TANZANIA ni BURE anatangaza utalii wa nchi sio kwa malipo
M.bet anatoa ngapi iyo bonus? Si uitaje anayoitoa, maneno matupu bila uthibitisho ndiyo maana mnaletewa kina Manzoki kwenye uchaguzi na sio kusajiliwa na mnabaki kupiga makofi kama mazwazwa!!Mkuu acha uzwazwa visit Tanzania sio mdhamini wa simba, mdhamini ni Mbet na anatoa Bonasi kwenye mashindano ya kimataifa kama ambavyo sportpesa anatoa bonasi kwa utopolo.
Kunywa maji mengi kisha malizia ile dozi yako inaweza kutuliza maumivu uliyonayo, Ukipanda bangi usitegemee kuvuna mahindi kila timu itavuna ilichopanda, na uhalisia wa mikataba ndio tunaiona sasa na sio cheap propaganda za wakina chaunabe na chawa wa mhindi wa bombay kina Jaribu tena!!Hii mijamaa sijui itaelimika lini, mlichokifanya ni utapeli kama utapeli mwingine, mmesign mkataba na mdhamini mpya bila ya makubaliano na mdhamini mkuu...
Mnaongiza ligi ya vibondeGoli mbili tu tunaongoza kundi,migoli yote saba kumbe ni kumkomoa Rais Samia. Swain!!!!!!
Kupata hizo hela ni jambo moja, ila matumizi yake ni jambo jingine.Yanga: Milioni 820 kutoka CAF
Simba: Bilioni 1.5 kutoka CAF
Kupanga ni kuchagua tulishasema CAF champions league na confederation ni mbingu na ardhi kwanini mnalazimisha kufanana timu haipo hata Super League ila mdomo kama wote..
Sawa..Kupata hizo hela ni jambo moja, ila matumizi yake ni jambo jingine.
Usajili utakapofika, Simba itaenda kukusanya wachezaji wamafungu. Hela wanazopata, hamtoziona zinapoenda π π π π
[emoji107][emoji107]Hii mijamaa sijui itaelimika lini, mlichokifanya ni utapeli kama utapeli mwingine, mmesign mkataba na mdhamini mpya bila ya makubaliano na mdhamini mkuu.
Msimuone sportpesa mjinga kwa kuwa amekaa kimya,, anawangoja mtolewe kwanza huko kwenye kombe lenu la mbuzi alianzishe tena.
Alafu mtoto wa kiume unakaa hapa unatubania pua eti tumeingiza hela nyingi unajumlisha na hela za utapeli, ngoja mtakapoliwa vinyeo na watu wa sportpesa ndo mtajua hamjui..
Yetu machoKunywa maji mengi kisha malizia ile dozi yako inaweza kutuliza maumivu uliyonayo, Ukipanda bangi usitegemee kuvuna mahindi kila timu itavuna ilichopanda, na uhalisia wa mikataba ndio tunaiona sasa na sio cheap propaganda za wakina chaunabe na chawa wa mhindi wa bombay kina Jaribu tena!!
Yetu machoKunywa maji mengi kisha malizia ile dozi yako inaweza kutuliza maumivu uliyonayo, Ukipanda bangi usitegemee kuvuna mahindi kila timu itavuna ilichopanda, na uhalisia wa mikataba ndio tunaiona sasa na sio cheap propaganda za wakina chaunabe na chawa wa mhindi wa bombay kina Jaribu tena!!
Jifunze kujumulisha Kwanza..Ni vizuri pia tukawajuza umate umate utakaoingizwa na hizi timu 2 baada ya kutinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho na Klabu Bingwa Afrika, mgawanyo ndio huu;
Yanga: Milioni 820 kutoka CAF + Bilioni 1.5 kutoka wadhamini wao Kampuni ya Haier + Milioni 40 zawadi ya Rais Samia, jumla ni Bilioni 2.36.
Simba: Bilioni 1.5 kutoka CAF + Milioni 45 zawadi ya Rais Samia, jumla ni Bilioni 1.97.
Kupanga ni kuchagua, kila timu inavuna ilichopanda.