Mpunga unaoingia baada ya kutinga Hatua ya Robo Fainali kati ya Yanga na Simba

Na hizo za Simba zote anakomba Muddy [emoji2960][emoji2958][emoji848]
 
Kupata hizo hela ni jambo moja, ila matumizi yake ni jambo jingine.

Usajili utakapofika, Simba itaenda kukusanya wachezaji wamafungu. Hela wanazopata, hamtoziona zinapoenda [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Chezea Kanjibai wewe, unadhani zile B 26 ziliyeyukia wapi? [emoji847]
 
Kwenye huu utumbo wako kwamba Simba hawana wadhamini
Wadhamini wenu wanawapa shingapi michuano ya kimataifa? Au ni siri aitakiwi kujua? Tunajua wadhamini wenu ni visit tanzania, je wanawapa bei gani kila hatua mnayopiga kimataifa?
 
YANGA; 820MIL, KUTOKA CAF+ 1.5B KUTOKA WADHAMINI WAO KAMPUNI YA HAIER +40MIL ZAWADI YA MAMA SAMIA TOTAL=2.36BIL
Mdhamini wa Simba VISIT TANZANIA ni BURE anatangaza utalii wa nchi sio kwa malipo
Umeulizwa swali kubwa kuzidi uwezo wako, ndio maana unarudia jibu lile lile. Hapo kama ungekuwa na akili hata za Mama Samia ungezitoa, hela ambazo zipo common kwa wote kikanuni ni hizo za CAF
 
Watakwambia usubirie na gemu ya Raja ndo uhesabu vizuri
 
We ni kolo
 
Aahhaha

Umeua mzee
 
Nenda mahakamani
 
Kupata hizo hela ni jambo moja, ila matumizi yake ni jambo jingine.

Usajili utakapofika, Simba itaenda kukusanya wachezaji wamafungu. Hela wanazopata, hamtoziona zinapoenda [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani ni hela zakooo??? Mbna unaumiaa sanaaa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
TUNAOMBA HIZI HESABU TENA πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…