Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Ke akiamua upuuzi kaamua hata umkune kwa wembe wa TOPAZ bado tu atatimiza nia yake, hakawii kukusingizia unamlazimishaga akupe Tigo ilimradi tu Me udhalilike.Mm nafikiri mzee ameshindwa kumkuna vizuri huyu mdada. Kwa hiyo nae, anatafuta faraja, sehemu nyingine. Upwiro si mzuri ndugu yangu hasa kwa, watu waliokuwa, ndani ya ndoa. Tumuache nae apate raha alizokosa, mwanzoni.
Kwa maongez yake tu sisi tuliosoma Cuba tunagundua tu kuwa, alikosa mtu sahihi wa, kumkukuna vizuri. Sasa amepata anayekuna upele mpaka raha.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.