Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Mbona Wewe HUHAMI MJINI?
Hahaha! Mwambie dogo watamla kiboga[emoji3], asione akina Dayamondi na Hamonaiza wapo vile, mambo wanayofanya/fanyiwa nyuma ya pazia ni siri yao
usimtishie mpwa nyinyi watoto wa bibi mnakua wabinafsi!Meseji uliyonitumia mpwa nmeipata.unasema unataka kuja mjini. Mwaka jana ulisema hivyo nikakueleza kuwa subiri kwanza. Naona unasisitiza nikuelekeze home uje mjini.
USIJE MJINI. hizo picha unazoniona nmepiga na kurusha kule insta asilimia kubwa siyo maisha ninayoishi. Nielewe tu. Huku kazi hamna.makampuni mengi yamefungwa na mengine kupunguza wafanya kazi.
Unafahami bei ya mchele? Huku tunanunua kilo moja tsh 2400-2600. Sukari 2700 kwa kilo. Maharagwe tsh 2600-2800 kwa kilo. Nielewe naposema Usije mjini.
Unasema mbona akina Daimondi wamewini laifu kwa kuimba nawe unataka uje kuimba.maisha hayapo hivyo mpwa wangu. Huku Mjini hakuna raha. Usibabaike na picha za watu instagram na facebook.
Unakumbuka kipindi kile mnamsema yule mtoto wa mzee kubwanga alikuwa anaokota makopo kuwa ni chizi?sasa huku mjini kuokota makopo ni moja ya kazi kwa sasa.
Usilazimishe Mpwa.unaweza ukaja ukaolewa.shauri yako. Unaweza ukaja ukawa Chokoraa. Mimi sitokukaribisha home maana najua tutagombana tu. Kama unakuja njoo kwa issues zako mwenyewe.
Ila nakwambia kama hujajipanga USIJE MJINI. watakuoa maisha yakikugonga nawe unataka maisha mazuri.maana naona hata jina umebadilisha unajiita Chidman badala ya Rashid.
Wewe nisubiri ntakuja huko huko tupange jinsi ya kufanya kilimo. Mjini hakuna issue.huwa hatuwaambii tu tukija kuwatembelea. Tunakuwa tumejipanga mwaka mzima.sasa nyie mkituona tumekuja krismasi na magari na nini na nini mnadhani ndo maisha yetu ya kila siku. Nakusisitizia mpwa USIJE MJINI
Duuh aisee mpwa mbona unanikata stim kabisa ya kuja mjin
usimtishie mpwa nyinyi watoto wa bibi mnakua wabinafsi!
Mbona Wewe HUHAMI MJINI?
[emoji3][emoji3][emoji3]sawa amekusikiaMeseji uliyonitumia mpwa nmeipata.unasema unataka kuja mjini. Mwaka jana ulisema hivyo nikakueleza kuwa subiri kwanza. Naona unasisitiza nikuelekeze home uje mjini.
USIJE MJINI. hizo picha unazoniona nmepiga na kurusha kule insta asilimia kubwa siyo maisha ninayoishi. Nielewe tu. Huku kazi hamna.makampuni mengi yamefungwa na mengine kupunguza wafanya kazi.
Unafahami bei ya mchele? Huku tunanunua kilo moja tsh 2400-2600. Sukari 2700 kwa kilo. Maharagwe tsh 2600-2800 kwa kilo. Nielewe naposema Usije mjini.
Unasema mbona akina Daimondi wamewini laifu kwa kuimba nawe unataka uje kuimba.maisha hayapo hivyo mpwa wangu. Huku Mjini hakuna raha. Usibabaike na picha za watu instagram na facebook.
Unakumbuka kipindi kile mnamsema yule mtoto wa mzee kubwanga alikuwa anaokota makopo kuwa ni chizi?sasa huku mjini kuokota makopo ni moja ya kazi kwa sasa.
Usilazimishe Mpwa.unaweza ukaja ukaolewa.shauri yako. Unaweza ukaja ukawa Chokoraa. Mimi sitokukaribisha home maana najua tutagombana tu. Kama unakuja njoo kwa issues zako mwenyewe.
Ila nakwambia kama hujajipanga USIJE MJINI. watakuoa maisha yakikugonga nawe unataka maisha mazuri.maana naona hata jina umebadilisha unajiita Chidman badala ya Rashid.
Wewe nisubiri ntakuja huko huko tupange jinsi ya kufanya kilimo. Mjini hakuna issue.huwa hatuwaambii tu tukija kuwatembelea. Tunakuwa tumejipanga mwaka mzima.sasa nyie mkituona tumekuja krismasi na magari na nini na nini mnadhani ndo maisha yetu ya kila siku. Nakusisitizia mpwa USIJE MJINI
Kwani atashindia mchele.Hapo kwenye mchele umetunyea mzee, sasa hivi kilo ya mchele 1.2k mpaka 1k unapata
ChidboyChidman sio [emoji23]
Vyumba mpaka 8k per month vipo, ACHA ROHO MBAYA BOB!Kwani atashindia mchele.
Sikuhizi chumba na sebule ni laki na ushee. Atalala wapi? Sebuleni siruhusu maana wanawake wa siku hizi hawanyamazi kwenye burudani