😢😢😢daah haya mpwa yan Mimi ndoto yang ilikuwa kuja kuish drUsije mjini. Huku mjini ni matatizo. Kila kitu ni ghali. Watu wengi hawana kazi. Unaweza ukaja kuwa chokoraa. Usije mjini mpwa wangu.
Mchele wa bei hiyo mpaka unamaliza kula basi mdomoni meno yanadondoka yenyewe kwa mawe utakayokutana nayo!Hapo kwenye mchele umetunyea mzee, sasa hivi kilo ya mchele 1.2k mpaka 1k unapata
Yaani huo ndio SuperMchele wa bei hiyo mpaka unamaliza kula basi mdomoni meno yanadondoka yenyewe kwa mawe utakayokutana nayo!
Yah mkuu inategemea upo mji gani,hapo nilimaanisha kwa sisi tunaoishi DaslamYaani huo ndio Super
Dogo sehem tatu unamwandikia mpwa wako kuhusu kuja mjini na kuongelea kuliwa kiboga...vp washakutatua marinda nnMeseji uliyonitumia mpwa nmeipata.unasema unataka kuja mjini. Mwaka jana ulisema hivyo nikakueleza kuwa subiri kwanza. Naona unasisitiza nikuelekeze home uje mjini.
USIJE MJINI. hizo picha unazoniona nmepiga na kurusha kule insta asilimia kubwa siyo maisha ninayoishi. Nielewe tu. Huku kazi hamna.makampuni mengi yamefungwa na mengine kupunguza wafanya kazi.
Unafahami bei ya mchele? Huku tunanunua kilo moja tsh 2400-2600. Sukari 2700 kwa kilo. Maharagwe tsh 2600-2800 kwa kilo. Nielewe naposema Usije mjini.
Unasema mbona akina Daimondi wamewini laifu kwa kuimba nawe unataka uje kuimba.maisha hayapo hivyo mpwa wangu. Huku Mjini hakuna raha. Usibabaike na picha za watu instagram na facebook.
Unakumbuka kipindi kile mnamsema yule mtoto wa mzee kubwanga alikuwa anaokota makopo kuwa ni chizi?sasa huku mjini kuokota makopo ni moja ya kazi kwa sasa.
Usilazimishe Mpwa.unaweza ukaja ukaolewa.shauri yako. Unaweza ukaja ukawa Chokoraa. Mimi sitokukaribisha home maana najua tutagombana tu. Kama unakuja njoo kwa issues zako mwenyewe.
Ila nakwambia kama hujajipanga USIJE MJINI. watakuoa maisha yakikugonga nawe unataka maisha mazuri.maana naona hata jina umebadilisha unajiita Chidman badala ya Rashid.
Wewe nisubiri ntakuja huko huko tupange jinsi ya kufanya kilimo. Mjini hakuna issue.huwa hatuwaambii tu tukija kuwatembelea. Tunakuwa tumejipanga mwaka mzima.sasa nyie mkituona tumekuja krismasi na magari na nini na nini mnadhani ndo maisha yetu ya kila siku. Nakusisitizia mpwa USIJE MJINI
Kaweka bei ya mchele super, huo mchele wa buku mh!, anyway mpwa njoo mjini..
Mchele wa bei hiyo mpaka unamaliza kula basi mdomoni meno yanadondoka yenyewe kwa mawe utakayokutana nayo!
Sikutaka hata kubishana nao wao wanakula ule mchele utadhani mahindi yamechongwa kuwa mchele.tasteless... watu tunakula super mchele toka kyela na kamsamba unaopaswa kuuzwa nje ya nchi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu unapata mchele kwa 1000?Hapo kwenye mchele umetunyea mzee, sasa hivi kilo ya mchele 1.2k mpaka 1k unapata
Kwa kuwa huko nje ya nchi ndio kuna watu bwashee!
Mkuu unapata mchele kwa 1000?
Elfu moja ya kitanzania?
Thite thenta kabisa: Upanga , Undali streetYah mkuu inategemea upo mji gani,hapo nilimaanisha kwa sisi tunaoishi Daslam
Jamaa anasema unauzwa Mbagala or Buguruni. Hivi huko nako ni mjini?Huo mchele wa buku kama unakula ugali unachovya kwa uji.
Mchele mzuri kuanzia buku bee hapo