Mpwa usije Mjini. Najua hutanielewa lakini ndo ukweli

umetudanganya pakubwa sana

mchele bei ya chini ni 1100, buguruni mnyamani na hata tabata ni 1200.

mbagala kilo ni 1000.

bei max 1800 kwa kilo.

Bei ya gesi tu hapa Dar sio sawa na shinyanga.

Dar biashara zinaenda sana tofauti na mikoani.

Dar ukiwa na sera ya hakuna kulala unaweza ingiza elfu 20 kwa siku shinda sana kariakoo

Dar kutamu bwana, karibuni Dar wapwa!!

Dar ndio imeibeba Tanzania
 
Kaweka bei ya mchele super, huo mchele wa buku mh!, anyway mpwa njoo mjini..
 
Usije mjini. Huku mjini ni matatizo. Kila kitu ni ghali. Watu wengi hawana kazi. Unaweza ukaja kuwa chokoraa. Usije mjini mpwa wangu.
😢😢😢daah haya mpwa yan Mimi ndoto yang ilikuwa kuja kuish dr
 
Dogo sehem tatu unamwandikia mpwa wako kuhusu kuja mjini na kuongelea kuliwa kiboga...vp washakutatua marinda nn
Dogo sehem tatu unamwandikia mpwa wako kuhusu kuja mjini na kuongelea kuliwa kiboga...vp washakutatua marinda nn
 
Sikutaka hata kubishana nao wao wanakula ule mchele utadhani mahindi yamechongwa kuwa mchele.tasteless... watu tunakula super mchele toka kyela na kamsamba unaopaswa kuuzwa nje ya nchi.😂😂😂😂

Kaweka bei ya mchele super, huo mchele wa buku mh!, anyway mpwa njoo mjini..
 
Sikutaka hata kubishana nao wao wanakula ule mchele utadhani mahindi yamechongwa kuwa mchele.tasteless... watu tunakula super mchele toka kyela na kamsamba unaopaswa kuuzwa nje ya nchi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa kuwa huko nje ya nchi ndio kuna watu bwashee!
 
Huo mchele wa buku kama unakula ugali unachovya kwa uji.
Mchele mzuri kuanzia buku bee hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…