Mpwapwa: Askari adaiwa kumpiga risasi mwenzie wakati wa kumkamata bodaboda

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
410
Reaction score
987
Kwa hali isiyo ya kawaida, Askari aitwae NANGU amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na askari mwenzie kwenye harakati za kukamata bodaboda, tunaendelea kulifuatilia swala hili kwa ukaribu kwa maelezo ya kina.
 
Nini kosa la bodaboda lililomfanya askari amkamate, isijekuwa tamaa yao ya rushwa
 
Kwa Hawa watanzania Mama Samia kazi anayo

Huku Askari wanatwangana risasi
Huku panya road wanaua watu
Huku Kuna polisi wagombana mwendokasi
Huku Kuna bomba linazuiliwa
Huku Kuna naibu waziri anagombana mwendokasi
Huku kuna
 
Hii taarifa una uhakika nayo...usitake kushushua hadhi YA JF, SASA inabidi kuhakiki taarifa zinazoletwa humu kama zina ukweli..zamani Jf ilikuwa kisima cha habari zilizofanyiwa upembenuzi yakinifi..sasa hivi mtu akilala akiamka anaposti ujinga
Kwa hali isiyo ya kawaida, Askari aitwae NANGU amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na askari mwenzie kwenye harakati za kukamata bodaboda, tunaendelea kulifuatilia swala hili kwa ukaribu kwa maelezo ya kina.
 
Unamaana siku hizi kwenye kuwakamata madereva wa pikipiki mpaka risasi zinahusika?
 
Back
Top Bottom