Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

We unaenda kukopa na kukabidhi ATM card kwanini usidharaulike
We jamaa una matatizo kweli aisee, sasa hao madktar wanao lewa hadi wanajikokolea vip wao?? Hao manes wanao liwa kimasihara night shift he?? Acha chuki
 
tatizo serikali imechangia pakubwa sana kudharaulika kwa kada ya ualimu hila mdah hupo wanaweza wakasawazisha aiwezekan mtu na degree ualimu anayeanza kazi anapitwa mshahara na darasa la saba wa TPDF very sad mama Samia wachungulie walimu mei mosi hii
Umeongea vizuri, ila ulomsaidia hajui. Amekujibu utumbo tuu. Msamehe bure
 
Salamu wote.Huwezi kuta mtoto wa Raisi mstaafu ni mwalimu.Hawa ni watoto wa wakulima na watu wa chini kabisa.

Umekua na tabia ya kuwabeza na kuwatukana walimu humu na uongozi unakuangalia. Mimi na Walimu wenzangu hiki kitendo tunakilaani kabisa.

Kila mada walimu na huna mada nyingine? Wote humu mmefundishwa na walimu iweje mnawakejeli?

Ukiendelea na tabia hii hutafanikiwa katika maisha mana roho za walimu zinasononeka.

Huo mshahara mdogo wanaolipwa hawajawahi kukuomba au kukulalamikia uwakopeshe.

Mpwayungu Village acha hii tabia Mara moja
 
Mpwayungu sasa hivi kashahamia kwenye group la mikeka huko anabet tu na akina Rickboy Mzee wa kula tunda kimasihara
 
Yule ni mgogo wa mpunguzi ndugu zake ni ombaomba wapo hapa barabara ya bibi titi.
Kwa kifupi Mpwayungu ni mshamba na limbukeni ,kaka jijini 2018 ,ni muongo Sana hudai ana Prado new model [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]eti ana LLB [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
 
Back
Top Bottom