[emoji38][emoji38] kauli kama hizi ndio zinafanya watu wawadharau walimu. Familia nyingi tunazotoka zina angalau walimu wawili, tunaona changamoto zao, sasa wewe kuja kusema watalipwa mbinguni kwani wanafundisha mbinguni?
Naweza nisikubaliane na kauli za memba uliemtaja, lakini ni wazi kuwa walimu wanahitaji kuboreshewa mishahara na wengine mazingira ya kazi.