Mr. Blue: Mabinti walikuwa wanajipanga maskani kunisubiria, nachagua wa kuondoka nae

Mafanikio ya wasinii wengi (bongo fleva vs bongo movie ) ni kutembea na wanawake wengi... hilo linaendelea kujidhihirisha... Hongera Mr. Blue kwa mafanikio ya hali ya juu.
 
Nnavyomfahamu Mr. Bluu sio mtu wakuongeaongea ujingaujinga kwenye media, sio mtu wa kutafuta kiki za kijinga, ila sijui nini kimemkuta mwakahuu, tokea ishu ile ya Sugu kilasiku anaibuka na mpya
Amechuja, hizo ni kick za kurudisha umaarufu....
Hana lolote..
 
Mpaka huu mwezi uishe atakuwa amefichua siri zote aisee
 
Huyu mtoto aliweka kalikiti kichwan tunamuona anajiita staaa?HV bongo tumerogwa na nan mpaka kyngonoka sana tunajisifia jambo LA aibu hili
 
Naiona Tanzania ya viwanda
Tanzania ya viwanda siyo ... viwanda vya ngono itakuwa
 
Blue alikuwa HB sana enzi hizo anatoa blue blue kiss kiss mapozi hadi 2006 hivi nilimuona live alikuwa anapapatikiwa na mademu kinoma...kwa sasa u-HB kwisha.

Katoka HB kahamia HP.
 
Na UKIMWI utakuwa umejipanga kwake
sio kweli kama ni hivo najua wanawake tungewapoteza wengi, mwanamke ambae hat**obw.i sana minimun ni 500 wale wanananiliwa haswa matobo yao ni 1000 na kwenda juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…