Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Wale siasa tu zimeingilia, wanashikiliwa kwa nguvu ya dola wala siyo sheria.mkuu kwani kiasi alichonacho huyu na kiasi alichonacho RUGEMALILA na SETH ni nani anakiasi kikubwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale siasa tu zimeingilia, wanashikiliwa kwa nguvu ya dola wala siyo sheria.mkuu kwani kiasi alichonacho huyu na kiasi alichonacho RUGEMALILA na SETH ni nani anakiasi kikubwa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Tuliwaambia kudadeki zenu
Mr kuku ni Ontario aliechangamka
Hahah wazee wa kupanda mbegu.Nilifuatilia tulipigwa biti hilo hadi nikasema labda nisije kuoata wadhifa serikalini ile hela italipwa na riba....
Hahah ulimsifia sana Mr. Kuku kwny ule uzi ukisema jamaa ni genious kinyama.Maana ya upatu ni nini ??
Kesi ya Mrkuku ni yepi hapa
1)kufanya upatu ?
2)kutokuwa na leseni ya Biashara ?
3)kutaperi ?
Maswali ni mengi.
Je ile model ya biashara kwa Tz ni haramu ??
Na hawasikii, hata ukianzisha wewe mradi huo huo sasa ukauita BATA FARM bado watakuja na utavuna hadi ushangae, kuna watu hawasikii sijui au ndio risk zenywe hizi.Huwezi pata hiyo pesa yako hata mia. Ukienda wanakufungulia kesi ya kushiriki upatu ambao ni kinyume na sheria.
Nanukuuu nchi hii ni tajiri mtembee kifua mbele[emoji3][emoji3]Kuna jinsi hela inakuwa chungu halafu unasikia kuwa hazirudi huku ukiwa na tumaini kuu kuwa hela utazivuna.
Sikuwahi kuelewa jinsi ya kuvuna wale kuku..nilieleweshwa sana siku hiyo nyumbani lakini wapi.
Kweli maisha ni akili..raha alizokula bro huyo toka 2017.Sasa kwa mfano tu hapo wakatia tia maneno akatoa za uchaguzi kama b10.
B7 akaachiwa then sisi tuliowekeza kuku wetu wa Kidigital tukatangaziwa jamaa amefilisiwa nani atajua?
Kwa sababu huyo jamaa unajua anaweza kuchangia kujengwa kwa Steigler Gorgee kule..au hata akachangia kujenga SGR kipande kidogo tu.
Nchii hii hela zipo na kuna namna tu
Wazee wenzangu wa Mzigo wa kubet twendeni zetu..Kuna Man U leo...kule Inter..
Mi toka nitendwe na Forex sipatikani kijinga.Ukiitiwa fursa wewe ndio fursa yenyewe (Source: Anonymous).
Ni ngumu namna alivyokusanya mtaji ni.kama anauza shares wakati siyo public coy.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani watu wamepigwaa parefu mamaee...! Sema jamaa akitafuta wakili imara anaweza chomoa hii kesi alafu akasepa na Mpungaa..
Lakini si anakusanya pesa alafu anafanyia biashara ya kuku?????Ni ngumu namna alivyokusanya mtaji ni.kama anauza shares wakati siyo public coy.
Safari hii ingefaa kuwakamata na waliotapeliwa pia kwa uzembe…
Hv inakuaje Mamlaka za nchi zinamuacha mtu mpaka anafikia kukusanya 17 billion?
Unamjua 'Diii Piii Piii' wa awamu hii ya mjomba Jiwe?
Huyo mzalendo aliyetufundishia vijana nidhamu ya pesa hachomoi msala wa uhujumu uchumi.
Kutoka hapo akubali kosa alipe mpunga mrefu.
Hapo ndipo kwenye kosa kukusanya pesa kwa umma kinyume na sheria. Ili ufanye hivyo kampuni inatakiwa iwe listed Dse na iwe publicLakini si anakusanya pesa alafu anafanyia biashara ya kuku?????
Tsh 17,000,000,000/= hata laizer hamfikii.
Namna ya kuzibadili ziwe dola ni kazi Sana, huwezi kwenda nje ya nchi na tshs!Sasa b17 unabakiaje bongo tena?
Halafu Kati ya hizo nyingi alizitumia kutapeli zaidi ili wamwamini kwamba analipa mara 2.Mnaosema kakusanya 17 bilion na kwanini amebaki bongo inabidi mjue hizi hela hajazipata kwa mkupuo mmoja yaan amehesabiwa hela alizokuwa anakusanya kidogo kidogo tokea 2017 huko mpaka leo
Pole!! Umetapeliwa ??? Wale wa Deci walirudishiwa????Sawa,ila serikali itafanya mpango wa watu kurudishiwa chao kama documents zipo?..au ndo itataifisha?