Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

Kama amechimbia akiba sehemu nampongeza sana kwa kazi nzuri aliyofanya,atafute wakili mzuri jela kitu gani akifungwa mwaka akirudi mtaani watu bado wamepigika tu.Real Hustlers do a small amount of time.Mfano Mponjoli Malakasuka,Don King,Aden Rage,Sonko.
 
Nanukuuu nchi hii ni tajiri mtembee kifua mbele[emoji3][emoji3]
 
Kaweka mil 7 kapata faida mil.52 ndani ya miezi 4.

Naomba serikali isimfunge huyu jamaa , na mi nipate huu mkwanja

 
Nyakati za JK type hizi zilikuwa zinapeta tu... tena wanaimbiwa nyimbo za kuabudu zinapigwa redioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…