rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Ilikuwa ni Pyramid yani mwisho wa siku System ingecollapse tu...!!Wewe una reasoning kwenye ubongo wako kweli.
Ukinipa 500,000 mwezi wa kwanza nikulipe baada ya miezi 6 akija mwengine ndani ya muda huo anipe 500,000 nimlipe mwezi wa 12.
Aliye nipa mwezi wa kwanza natakiwa kumlipa 1M nitachukua 500K aliyenipa mwengine 500K ya kujazia ili iwe 1M natoa wapi na je yele wa pili namlioaje.
JF mbona imekuwa ya hovyo hivi.