Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

Ilikuwa ni Pyramid yani mwisho wa siku System ingecollapse tu...!!
 
Kabisa hata mimi nilikataa masanja hela hazipati kwenye kilimo zile,mie nawajua watu wana ekari hadi 500 lakini bado tia maji tia maji,yeye kapata wapi fedha za kununua x6? Kuna kitu jamaa anafanya tu numa ya pazia haya mambo ya kuuza mchele ni geresha tu!! Hii ni kama Rummy alivyokuwa anazuga na biashara ya pharmacy kumbe alikuwa anauza poda.
 
Huo ndio mchezo uliopo hapo.
Jiulize wakati anaanza kufanya serikali ilikuwa wapi?Na cha ajabu jamaa alikuwa na licences zote alizipataje?
Hapo serikali walimvizia tu azikusanye ili waende kuzichukua waingize kwenye miradi yao
Hata wewe Unaweza kuanzisha jina la biashara alafu ukaenda kuomba leseni ya biashara ya kufuga kuku. Kilichowashitua selikali ni jamaa kwenda kutoa benk pesa kubwa kushinda mtaji
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38]ajali kazini.
Hata wewe Unaweza kuanzisha jina la biashara alafu ukaenda kuomba leseni ya biashara ya kufuga kuku. Kilichowashitua selikali ni jamaa kwenda kutoa benk pesa kubwa kushinda mtaji
 
Hii inaweza kuwa inaingia akilini aiseee...!! Maisha haya noma sanaa na vile mtumishi pesa zingine atasema ni charity kumbe unga noma sana
 
Kwanza wanakuambia subiri hapo, unaletewa kahawa wakati unakunywa simu zinaipigwa unakuja kuchukulia.

Benki yoyote haiwezi kukupa 6B bila benki kuu kujua
Ila watu wa benki nao ni wanafiki tu,wakati unaingiza hela kwenye benki yao hawaulizi wanakuacha tu halafu siku ya kutoa wanakurengesha kwa polisi.
 
Ndio maana wafanyabiashara siku hizi wanaficha hela ndani au kujengea majengo tu hawaachi hela benki kama huna risiti unafilisiwa
Duuh msala sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii Bongo leo hii ukitoa hata Mil 100 na huna vithibitisho vya biashara inayoendana na pesa hizo msalaaa.
 
Ndio maana wafanyabiashara siku hizi wanaficha hela ndani au kujengea majengo tu hawaachi hela benki kama huna risiti unafilisiwa
Yani kama huna kithibitisho hutoii...Unaweza wekaa tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mi mwenyewe ningekua Rais hizo b.17 nachukua 10 namuachia muhusika 7

aende mbele huko akatafute jinsi ya kuishi,b.10 naziingiza kwenye ma flyover

siwezi mfunga mtu wa namna hii ambae hajamwibia mtu,walimpa wenyewe kwann nimfunge sasa?

wakimfunga au kumuwekea vikwazo n kumuonea tu chalii wa watu,wao wenyewe wezi tu vile vile.
 
Shida ni kwamba serikali ni waongo waongo sana hasa hawa wa huku mahakamani

wanamsema mtoto wa watu kasepa na 17B lkn ukute hela zote hizo ni wamemkadiria

sioni ukweli kwenye 17B huyu mtoto angekua kweli bank ana hata B.1 asingekamatwa

hayo mahela yote wamemuongezea tu namba, n sawa na tanesco au dawasco wakudake

umechezea mita yako,bili watakayokukadiria Hutoamini macho yako,ila watakukazia na utaitoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…