Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

kuna manzi moja hapa kwa ofisi yeye pamoja na msuuzo wake waliwekeza 10 milion ...kwa mwaka mmoja wavune 40 milion....sasa hivi kila nikimcheki namwona kama bandama linataka kumng'oka....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah msalaa sanaa...!! Huyu jamaa kazikusanyaa hasaa alafi ukute hakumshirikisha mumewee noma sana kuna Aunt yangu Desi ilipokufa ilikuwa Mwanzo wa Presha hadi leo hajakaa vizurii...
 
Ilikuwa ni Pyramid yani mwisho wa siku System ingecollapse tu...!!
Hakuna Rikiboy tufanye brainstorm.

Kwa view yangu mpaka sasa haikuwa pyramid bali mradi mzima ulikuwa na Aim moja wapo kati ya hizi na na ulifanikiwa 90% Aim ya mradi ilikuwa

1)Kurise mtaji kupitia fedha za watu
Ili kuja kujitegemea wenyewe baadae (bila kumfanyia utaperi mtu)...na walifanikiwa maana walianza 2017 na vibanda locally mpaka 2020 walikuwa na mradi wa kisasa mkubwa na walishatangaza kuwa muda wa wawekezaji umeisha watajitegemea wenyewe.

2)Utakatishaji fedha
ni watu furani wakihusisha mafisadi, watu wenye nyadhifa serikalini walitumia akiri na kubuni njia ya kutakatisha fedha ndefu kwa kivuri cha Mradi wa kuku wa wenye model ya Mrkuku na walifanikiwa pakubwa kimkakati maana ndani ya miaka 3 tu walifanikiwa kuitaka kuitakatisha almost 20 billion Tzs...katika hili wawekezaji walikuwa wanawalipa bila utaperi kwa kutoa Amount kwenye mradi ikiperea wanchota kihasi kwenye pesa inayotakatishwa.

Hapo mkakati utakuwa ni mmoja kati ya hiyo miwili juu na si kutaperi vi lakilaki vyaia tofauti na wanavyokazia vichwa humu jamvini ila kwa asilimia kubwa kuna uwekekano mkubwa ikawa mkakati mzima ni hii namba mbili (utakatishaji)
 
Kweli jamaa white kinoma kama anajichubua basi balaa ,yes ana kigari visaloon vidogo vidogo ,nilimkuta biafra kapaki pembeni anapakia mabegi nyuma ya buti sasa sijui alipokuwa anakaa alifukuzwa.
Haha ha ha...mabishoo bana
 
Kwani ma
Kwani masanja ana mkwanja kihasi gani ??

X6 kama ya masanja beigani ??
 
So mkuu unataka kusema jamaa walikuwa wanapiga pesa sehemu nyingine wakawa wanaziingiza kwenye Mradi wa Kuku ili mradi ionekane pesa zinatokana na mradi..!! Inawezekana mzee japo daah pia kuna watu wameweka pesa zao so kiukweli nyuma ya hii ishu kuna zaidi ya kuku[emoji1787]

Kama Mr.white alifungua Gerage in the breaking bad
 
Sema mamlaka zinashtuga zikiwa zimechelewa. Mtu kashawaliza watu bil 17 ki uhalisia ni kwamba waliolizwa hawawezi kurudishiwa ila pia hamna jinsi unamfunga mtu mwenye B17
Mamlaka si kwamba hawajui. Nao wanakua na motive yao - pesa zijae wazipune. Wote serikali na MR Kuku ni majambazi kwa namna tofauti kulingana na muda.
 
Je ukiende
Je ukiendesha upatu huku una leseni ni inaruhusiwa ??
 
Huyu dogo hana tofauti na Hushpappy.......

Hivi swala la Deci liliishia wapi naona tz tumekua shamba la bibi yaani ni km serikali haipo inteligensia yetu inafanya kazi kwa vyama vya upinzani tu hasa chadema........

Aibu kubwa sn mambo km haya yanapojorudia mara kwa mara
 
kutojua sheria sio sababu wewe uvunje sheria.

Wakaishitaki serikali kwa kosa gani? Wao wakati wanapeleka hela zao walijiridhisha vipi kama hicho wanachokifanya ni halali? Yaani utapeliwe kwa uzembe wako halafu uishitaki serikali?

Serilai iwashitaki hao waliocheza upatu nao huenda kuna watu wametumia hio kama njia ya kutakatisha fedha. Tena hii inatkiwa iwe funzo kwa taifa. Akishakupatikana na hatia, pesa zitaifishwe, asirudishiwe mtu hata senti. Ziende kwenye miradi ya maendeleo. Zikirudishwa watu hawatojifunza. Waendelee kuliwa tu kama walitaka kuliwa hapo mwanzoni.
 
Unapojiajiri, fuata taratibu tu, hutosumbuliwa. Wapo waliojiajiri na wamefuata taratibu na wanakula maisha fresh. Hapa ndio unaona umuhimu wa kuwa na consultant sasa. kitu hujui, yeye anakuelekeza njia sahihi.
 
WAJINGA NI WENGI WAPENDA SLOPE NI WENGI
WAKIAMBIWA MAPEMA WANAKUWA WAKALI KAMA MBOGO.....
ACHA TU SERIKALI IZICHKUE HELA HIZO
WAZITUMIE KWENYE MAMBO YAO TU

OVA

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mi toka nitendwe na Forex sipatikani kijinga.
Pole sana. Forex is real ila Ontario aliingiwa na tamaa na kutake side kwenye soko na mwishowe kuwapiga hela. Forex nayo ilivyo ni one's loss is one's gain. Kwa hiyo ni kuzichanga karata vema.
 
Namna ya kuzibadili ziwe dola ni kazi Sana, huwezi kwenda nje ya nchi na tshs!

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hata ukzibadili hapa nchini kuwa dola sifikiri kama unaweza kutoka nazo kama sio kujitafutia msala tu.

Apo njia ni kufanya bank transfers kidogo kidogo kama una akaunti nje ama kutumia Visa/mastercard yako kufanya manunuzi tu ukiwa nje.
 
Vicoba vyenyewe pia ni sooo. Mi namfahamu dada mmoja Arusha, yeye hafanyi kazi yoyote, ni vicoba tu na Sacco's. Yeye na mwenzake wanajua viongozi. Kazi yao ni kuzungusha Ile hela ya vicoba. Wanaforce wanachama wakope hata Kama huna shida. Unaambiwa inatakiwa uzalishe. Ukishakopa hiyo chapchap ambapo kila milion unajilipia laki kwa wiki lazima utashindwa huko mbeleni. Sasa yeye ndo anakukopesha kwa ribs halafu siku kikoba kinavunjwa uanjikuta pesa yako yoote unamlipa yeye. Wakati huohuo pesa zenu anazikopesha mitaani kwa hayo mariba ya laana. Ameliza wamama wengi Sana Sana.
 
Kwani ma

Kwani masanja ana mkwanja kihasi gani ??

X6 kama ya masanja beigani ??
Kipindi yeye ananunua ilikuwa bei ndefu kidogo kama 120m na akalipia 5m Plate Number.

Ila kwa sasa ukiwa na 70m unavuta X6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…