Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

Hahaha watanzania wanapenda sana hizi, waweke pesa mahala wao wakalale wakingoja faida.

Hakuna mtu wa kukufanyia kazi ukiwa umelala nyumbani, ona sasa pesa inaenda kutaifishwa na serikali na hamtalipwa, labda mfungue kesi ya madai.
Akili za betting ndio zimetutawala wa TZ ndio maana makampuni yanaota kama Uyoga nchini.
 
wabongo tutaendelea kuwa wahanga wa hawa matapeli kwa kupenda hela za kudownload aka cheap money ambazo hazipo...

Hela haipatikani kirahisi, hela inahitaji nguvu na maarifa mengi ilibije na iwe inakuja tu..
Hahahahah hela ya kupanda tamu sana.😂😂😂 Wewe unakuwa unasubiria kuvuna tu!

Halafu bwege kama huyo utakuta anakandia vijana waache kamari za mipira 😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani watu wamepigwaa parefu mamaee...! Sema jamaa akitafuta wakili imara anaweza chomoa hii kesi alafu akasepa na Mpungaa..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani watu wamepigwaa parefu mamaee...! Sema jamaa akitafuta wakili imara anaweza chomoa hii kesi alafu akasepa na Mpungaa..
Labda utawala mwengine sio huu! Ukae ukijua kampeni ni mwezi wa 10 hapo, 3 months ahead! Na nimesikia tetesi bureau de change zinafunguliwa.
 
Hahahahah hela ya kupanda tamu sana.😂😂😂 Wewe unakuwa unasubiria kuvuna tu!

Halafu bwege kama huyo utakuta anakandia vijana waache kamari za mipira 😂

watu wanadownload hela hahahahhah..

Hela hii hii watu wanayoikeshea wanaitafuta?

Elimu inabidi itolewe watu waambiwe mashuleni lazima ufanye kazi kwa bidii na maarifa ili uishi maisha mazuri na mwisho uwe na hela nyingi...
 
Fahamu Kuhusu Mr. Kuku Farm
 
Attachments

  • IMG-20200810-WA0040.jpg
    61 KB · Views: 2
Haki ya nani nami natafuta watu humu jamiiforum najiita Mr jogoo tuone sasa kama ntawapata

Sorry natania tu😅🤦🤪🏃
 
Labda utawala mwengine sio huu! Ukae ukijua kampeni ni mwezi wa 10 hapo, 3 months ahead! Na nimesikia tetesi bureau de change zinafunguliwa.
Duuh msalaa...!! Lakini zile hela sio za serikali means wanaweza rudishiwa watu lakini naona kabisa itakuwa kama Deci watazipiga wachacheee.. Alafu Joti alikuwa mstari wa mbele kumpromotw jamaa..
 
Hachomoki hapo.. bila kutoa Bil 5 kesi ifutwe kimya kimya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani watu wamepigwaa parefu mamaee...! Sema jamaa akitafuta wakili imara anaweza chomoa hii kesi alafu akasepa na Mpungaa..
 
Tsh 17,000,000,000/= hata laizer hamfikii.
Dah Jamaa alishatoboa tayari alishavuka viwango vya bilionea Laizer.
Yaani ilibaki tu kufanya miamala ya pesa alizovuna aende kuanzisha viwanda kupambana na akina Mo Dewji sokoni.
 
Hahaha sahihi fedha kama hizi ziende kwenye miradi ya maendeleo hasa kwenye elimu.
Kweli mtu timamu uweke pesa kwa mtu akuzalishie kweli? daa waache wapunwe tu na wengine wanafikia stage ya kuacha kazi na kuamnini kuwa watatoka kimaisha baada ya kupewa seminar uchwara.
Tunasema mara kwa mara kuwa ukiona unaitwa kwenye fursa basi jua kuwa wewe ndio fursa yenyewe.
 
Huu msemo nauelewa sana toka nimeanza kuuona humu JF!
 
Hahaha watanzania wanapenda sana hizi, waweke pesa mahala wao wakalale wakingoja faida.

Hakuna mtu wa kukufanyia kazi ukiwa umelala nyumbani, ona sasa pesa inaenda kutaifishwa na serikali na hamtalipwa, labda mfungue kesi ya madai.
Huo ndio mchezo uliopo hapo.
Jiulize wakati anaanza kufanya serikali ilikuwa wapi?Na cha ajabu jamaa alikuwa na licences zote alizipataje?
Hapo serikali walimvizia tu azikusanye ili waende kuzichukua waingize kwenye miradi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…