Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Milele Amina!Jina la Bwana lihimidiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milele Amina!Jina la Bwana lihimidiwe
Akili za betting ndio zimetutawala wa TZ ndio maana makampuni yanaota kama Uyoga nchini.Hahaha watanzania wanapenda sana hizi, waweke pesa mahala wao wakalale wakingoja faida.
Hakuna mtu wa kukufanyia kazi ukiwa umelala nyumbani, ona sasa pesa inaenda kutaifishwa na serikali na hamtalipwa, labda mfungue kesi ya madai.
Hahahahah hela ya kupanda tamu sana.😂😂😂 Wewe unakuwa unasubiria kuvuna tu!wabongo tutaendelea kuwa wahanga wa hawa matapeli kwa kupenda hela za kudownload aka cheap money ambazo hazipo...
Hela haipatikani kirahisi, hela inahitaji nguvu na maarifa mengi ilibije na iwe inakuja tu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani watu wamepigwaa parefu mamaee...! Sema jamaa akitafuta wakili imara anaweza chomoa hii kesi alafu akasepa na Mpungaa..Mwanangu kanipigia simu mda si mrefu. Nilimrushia hio clip! Ameshusha pumzi ya nguvu maana aliweka 3.5M...Nilichomjibu ni kuwa hio hela itafanyia shughuli za kizalendo kujengea barabara na mashule so asiwe na wasiwasi! Iko katika mikono salama.
Amejifariji kwa kusema in business kuna ku win na kujifunza.
Labda utawala mwengine sio huu! Ukae ukijua kampeni ni mwezi wa 10 hapo, 3 months ahead! Na nimesikia tetesi bureau de change zinafunguliwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani watu wamepigwaa parefu mamaee...! Sema jamaa akitafuta wakili imara anaweza chomoa hii kesi alafu akasepa na Mpungaa..
Wakati huo yeye kabet kwa Mr chicken 🤣🤦🤪🏃Hahahahah hela ya kupanda tamu sana.😂😂😂 Wewe unakuwa unasubiria kuvuna tu!
Halafu bwege kama huyo utakuta anakandia vijana waache kamari za mipira 😂
Hahahahah hela ya kupanda tamu sana.😂😂😂 Wewe unakuwa unasubiria kuvuna tu!
Halafu bwege kama huyo utakuta anakandia vijana waache kamari za mipira 😂
Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni.
Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa mashtaka yake leo 10/08/2020 na Wakili wa Serikali muandamizi mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Godfrey Isaya. Akisomewa mashitaka yake, mshtakiwa anakabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi na 60/2020, kati ya mashitaka hayo 7 yapo ya kusimamia na kuendesha biashara haramu ya upatu, kupokea maingizo ya fedha za umma bila ya kuwa na leseni na kutakatisha fedha.
Mfahamu zaidi Mr. Kuku:
Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?
Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku
Duuh msalaa...!! Lakini zile hela sio za serikali means wanaweza rudishiwa watu lakini naona kabisa itakuwa kama Deci watazipiga wachacheee.. Alafu Joti alikuwa mstari wa mbele kumpromotw jamaa..Labda utawala mwengine sio huu! Ukae ukijua kampeni ni mwezi wa 10 hapo, 3 months ahead! Na nimesikia tetesi bureau de change zinafunguliwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani watu wamepigwaa parefu mamaee...! Sema jamaa akitafuta wakili imara anaweza chomoa hii kesi alafu akasepa na Mpungaa..
Dah Jamaa alishatoboa tayari alishavuka viwango vya bilionea Laizer.Tsh 17,000,000,000/= hata laizer hamfikii.
Hahaha sahihi fedha kama hizi ziende kwenye miradi ya maendeleo hasa kwenye elimu.Mwanangu kanipigia simu mda si mrefu. Nilimrushia hio clip! Ameshusha pumzi ya nguvu maana aliweka 3.5M...Nilichomjibu ni kuwa hio hela itafanyia shughuli za kizalendo kujengea barabara na mashule so asiwe na wasiwasi! Iko katika mikono salama.
Amejifariji kwa kusema in business kuna ku win na kujifunza.
Huu msemo nauelewa sana toka nimeanza kuuona humu JF!Hahaha sahihi fedha kama hizi ziende kwenye miradi ya maendeleo hasa kwenye elimu.
Kweli mtu timamu uweke pesa kwa mtu akuzalishie kweli? daa waache wapunwe tu na wengine wanafikia stage ya kuacha kazi na kuamnini kuwa watatoka kimaisha baada ya kupewa seminar uchwara.
Tunasema mara kwa mara kuwa ukiona unaitwa kwenye fursa basi jua kuwa wewe ndio fursa yenyewe.
Huo ndio mchezo uliopo hapo.Hahaha watanzania wanapenda sana hizi, waweke pesa mahala wao wakalale wakingoja faida.
Hakuna mtu wa kukufanyia kazi ukiwa umelala nyumbani, ona sasa pesa inaenda kutaifishwa na serikali na hamtalipwa, labda mfungue kesi ya madai.
TurnkeyNakumbuka hiyo thread uliyoanzisha. Nilichangia na kusema huu ni utapeli lakini walikuwepo watu wengi walionitukana. Hili wala halihitaji u-genious kuelewa. Kwangu naona waliotapeliwa ni wajinga sana.
Mnaosema kakusanya 17 bilion na kwanini amebaki bongo inabidi mjue hizi hela hajazipata kwa mkupuo mmoja yaan amehesabiwa hela alizokuwa anakusanya kidogo kidogo tokea 2017 huko mpaka leo