nandengele
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 689
- 805
Yap ukiulewa huu msemo hakika huwezi ingizwa chaka kirahis rahisi, mtu anakuambia biashara fulani au issue fulani inalipa wewe kichwa kichwa unaweka fedha Bro no usifanye hivyoHuu msemo nauelewa sana toka nimeanza kuuona humu JF!
Da! Pole yake aisee ni DECI nyingine hiyo huyo ni mdogo wakeMwanangu kanipigia simu mda si mrefu. Nilimrushia hio clip! Ameshusha pumzi ya nguvu maana aliweka 3.5M...Nilichomjibu ni kuwa hio hela itafanyia shughuli za kizalendo kujengea barabara na mashule so asiwe na wasiwasi! Iko katika mikono salama.
Amejifariji kwa kusema in business kuna ku win na kujifunza.
Kweli aisee jamaa kwa level yake aliyofikia anaweza kubargain nao tu.Kuna jinsi hela inakuwa chungu halafu unasikia kuwa hazirudi huku ukiwa na tumaini kuu kuwa hela utazivuna.
Sikuwahi kuelewa jinsi ya kuvuna wale kuku..nilieleweshwa sana siku hiyo nyumbani lakini wapi.
Kweli maisha ni akili..raha alizokula bro huyo toka 2017.Sasa kwa mfano tu hapo wakatia tia maneno akatoa za uchaguzi kama b10.
B7 akaachiwa then sisi tuliowekeza kuku wetu wa Kidigital tukatangaziwa jamaa amefilisiwa nani atajua?
Kwa sababu huyo jamaa unajua anaweza kuchangia kujengwa kwa Steigler Gorgee kule..au hata akachangia kujenga SGR kipande kidogo tu.
Nchii hii hela zipo na kuna namna tu
Wazee wenzangu wa Mzigo wa kubet twendeni zetu..Kuna Man U leo...kule Inter..
Hii miçhezo bana iko ya style nyingiDa! Pole yake aisee ni DECI nyingine hiyo huyo ni mdogo wake
Ni kweli aisee akipata mawakili wa kimataifa kama akina kibatala na tundulisu anatoboa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani watu wamepigwaa parefu mamaee...! Sema jamaa akitafuta wakili imara anaweza chomoa hii kesi alafu akasepa na Mpungaa..
Hahaha mkiombwa kuchangia miradi hamchangi, hapo wameisha kusanya.Huo ndio mchezo uliopo hapo.
Jiulize wakati anaanza kufanya serikali ilikuwa wapi?Na cha ajabu jamaa alikuwa na licences zote alizipataje?
Hapo serikali walimvizia tu azikusanye ili waende kuzichukua waingize kwenye miradi yao
Hahaha mkiombwa kuchangia miradi hamchangi, hapo wameisha kusanya.
Kwa hilo mbona simple tu, ni mambo ya kukaa mezaniKweli aisee jamaa kwa level yake aliyofikia anaweza kubargain nao tu.
Hao serikali shida yao ni pesa tu hakuna kingine
Angepewa muda zaidi angempita mpk MO au baresaYaani amemzidi hadi yule bilionea wa Tanzanitee Mr LAIZEr [emoji1787] [emoji23]
Nahisi tumedanganywa hapo kwenye figures. Bil 17 ninazo bado niendelee kuish uswahilini!? Bwege nazi kabisa hili.Sasa b17 unabakiaje bongo tena?
Kumbe alishaanza kuzitumbua kiasi hicho?Jamaa nilishangaa anauza 2018 Jaguar F-Pace kwa 250M! Nikajiuliza kulikoni. Kumbe mambo yalishaiva
Oysterbay ni uswahilini?Nahisi tumedanganywa hapo kwenye figures. Bil 17 ninazo bado niendelee kuish uswahilini!? Bwege nazi kabisa hili.
Hahahah jamaa anaishi bwana toka chakechake mpaka dantauwni obey!Kumbe alishaanza kuzitumbua kiasi hicho?
Pamoja na yote same date mlitohowa taarifa yangu na kutengeneza taarifa same date. Hakuna jipya nili andika as alert
Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni.
Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa mashtaka yake leo 10/08/2020 na Wakili wa Serikali muandamizi mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Godfrey Isaya. Akisomewa mashitaka yake, mshtakiwa anakabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi na 60/2020, kati ya mashitaka hayo 7 yapo ya kusimamia na kuendesha biashara haramu ya upatu, kupokea maingizo ya fedha za umma bila ya kuwa na leseni na kutakatisha fedha.
Mfahamu zaidi Mr. Kuku:
Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?
Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku
boss msaada kidogo alikua anafanya vp hiyo shughul huyo mNikiikumbuka nilivyoliwa pesa na forex nabaki kusema bongo ukifa njaa umejitakiamwenyewd wajinga tupo kwa mamilioni.
NB: nawaonea huruma wastaafu walioweka pesa huko
Unaelewa nilichokimaanisha!?Oysterbay ni uswahilini?