Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Inaruhusiwa mkuu ila inabidi uorodheshe kwenye DSE na ukidhi vigezo na msharti ya benki kuu.Je ukiende
Je ukiendesha upatu huku una leseni ni inaruhusiwa ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaruhusiwa mkuu ila inabidi uorodheshe kwenye DSE na ukidhi vigezo na msharti ya benki kuu.Je ukiende
Je ukiendesha upatu huku una leseni ni inaruhusiwa ??
Kwa comments zako za mambo ya mjini wasithubutu kabisa kujaribu.Wastaafu, watu wa ofisini ila watu wa dili kama sisi mishen town kutupata huwa ni ngumu sana
Sana sana tunaweza wapiga wao
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nishawahi kumliza Dada mmoja kabla hajaniliza mimiKwa comments zako za mambo ya mjini wasithubutu kabisa kujaribu.
😂😂😂😂This how they did...Huyu hata 1B hajawahi ishika kwa mkupuo
ila serikali kwakujua kujiongeza wakamjumlishia,wakazidisha mwsho
wakamgawanyia kwa mbili wakatoa nane,wakapata jibu ni 17B,***** zao.
Unajua kuna vitu mjini hapa basi tu.Watu kama hawa ni potential sana, wabunifu na wathubutu ni wa kuwasapoti na si kuwafunga.
Eti wao wenyewe wezi vile vile! [emoji1][emoji1][emoji1]
Mrangi kuna watu wanasema jamaa angesepa mapema... kwa uzoefu wako na kwa ukubwa wa hii figure 17b unadhani serikali ya wanyonge isingemfuata hukohuko alikokimbilia?Nishawahi kumliza Dada mmoja kabla hajaniliza mimi
Mpka Leo hana hamu na Mimi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Sasa kama upatu ni sio haramu kwanini hii taarifa inakuza msamiati huu "Akiwa anaendesha upatu" mpaka mentally ukimuuliza mtu upatu ni nini atasema utapeli, kwaninj wasiseme "akiwa anaendesha Biashara bila leseni.Inaruhusiwa mkuu ila inabidi uorodheshe kwenye DSE na ukidhi vigezo na msharti ya benki kuu.
Ni kujihusisha moja kwa moja au kwa njia nyingine katika kubadili, kuhamisha, kuficha, kupoteza chanzo, kutumia au kujipatia fedha au mali inayoaminika kupatikana kwa njia haramu.Ivi kutakatisha pesa ni nn??????
Tuje kwenye kilimo mbona juzi kuna mkulima kapata 600M yule wa Avocardo.Kipindi yeye ananunua ilikuwa bei ndefu kidogo kama 120m na akalipia 5m Plate Number.
Ila kwa sasa ukiwa na 70m unavuta X6.
Ni yake..ndo malipo anayolipwa na wanaoficha pesa kwenye account zakeWeee na yale marange ya masanja sio yake?
Na zile chopa zinaziokagua mashamba ya mipunga
Kuhamisha huo mzigo si mchezo asinge fika popoteMrangi kuna watu wanasema jamaa angesepa mapema... kwa uzoefu wako na kwa ukubwa wa hii figure 17b unadhani serikali ya wanyonge isingemfuata hukohuko alikokimbilia?
Wasanue wana wasije wakachezea kipigo cha mbwa koko.Kuna Upatu mwingine inaitwa JATU. Nina hofu sana watu kupoteza mtaji
Kwa mfano angeondoka na mpunga kiasi bado wangemfuatilia?Kuhamisha huo mzigo si mchezo asinge fika popote
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nikope basi million 100 tu!Kimesajiliwa, nao storee kama hizi za Mr. Kuku eti Wana 12b zimelala so tukope kwa wingi
Mwezi wa tano nilitaka kujitoa wakanigomea balaaa
Kwenye Bil 17 mpunga mdogo wa kusepa nao ni kiasi gani kwako???Kwa mfano angeondoka na mpunga kiasi bado wangemfuatilia?
Kuna bush lawyer wanajipa moyo eti kesi nyepesi atatoka 😆😆😆Wanajidanganya hakuna mwanasheria yeyote atakayeshinda hii kesi , kosa la kwanza ni kuendesha upatu kukusanya fedha bila kuwa na kibali/leseni kwahiyo hapo anaangukia kwenye utakatishaji fedha,watu wanasema sijui analipa kodi mara bla bla ,anaweza akawa analipa kodi kama mfanyabiashara wa kuuza kuku kama kampuni alivyoisajili ila kodi kwa ajili ya kufanya upatu halipi.
Ili kukusanya fedha kwa watu kama wafanyavyo bank ilitakiwa atafute leseni ya kufanya hivyo hapo ndipo kosa lilipo,jamaa ataozea ndani,hatoki leo huyo na utakatishaji pesa.
Huenda mkuu, mie sio mwenyeji kwenye uwanda wa sheria.Kinachofanya ushinde sio wingi/uzito wa tuhuma mkuu,ni case proceedings(mwenendo wa kesi).Kina rugemalila walipewa tuhuma kibaao mwanzo ila kadri muda unavyoenda zina drop moja moja tu,mwisho serikali ikaomba plea bargain...Unawakumbuka wale jamaa wa EFD walikuwa wanapiga 7M per day?,Sidhani kama wapo gerezani sasa hivi..Plea bargain.
Hahahahah shida ni kwamba nina hakika 100% jamaa alikuwa hajui kwamba amekiuka taratibu. Mwanasheria wake ndio wa ku blame maana ndio alimtia ujinga.Hela jinsi unavyozipata utamu unaongezeka kuzitafuta zaidi. Pia kama ni kuexit labda kuepuka tu mkono wa dola ila asingeweza kutoka na huo mpunga wote. Cha muhimu kama alijua ni kitu haramu anafanya angestop baada ya kufika point flani na kusepa mapema.
kumbe hata wewe legendary ulishatwaliwa na wajanja.... 😂 😂 😂 😂 😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah msalaa sanaa...!! Huyu jamaa kazikusanyaa hasaa alafi ukute hakumshirikisha mumewee noma sana kuna Aunt yangu Desi ilipokufa ilikuwa Mwanzo wa Presha hadi leo hajakaa vizurii...
Take care usikubali kuonyeshwa pori ukaamini Kisha kampuni,Ni lzm ujiridhisheUwiii[emoji28]