Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

Hivi ni kweli jamaa aliweka pesa zote bank?? Hakuna pesa ata alozichimbiaa chini ya ardhi?? Angeweka mpunga bitcoin huo hakuna wa kuusitisha wala ku freeze angepeta sana
M! Hiyo bitcoin ndo ipi? Dunia imekua na utapeli mwingi sana
 
Bado Qnet na wenzao wanaoendesha upatu kinyume cha sheria za nchi
Na wale wanaokopesha pesa za riba kukomoa watu. Mke wangu alikopeshwa milion tatu kalipishwa laki saba na nusu kwa muda wa mwaka na nusu, mi nashangaa wife Hana raha Ana msongo wa mawazo, anaogopa kuniambia, nimekuja kufahamu wife anadaiwa baada ya kushindwa kuendelea kulipa mkopeahaji akaja kumnyang'anya gari. Sijui hata nafanyaje wife arudishiwe pesa yake maana huu ni unyang'anyi
 
Sidhani, zisingeweza kupigwa mnada kabla ya hukumu. Na havijatajwa kwenye hukumu hayo mabanda na magari. Na huyo mr kuku sidhan Kama anakosa m5, anataka tu watu wajue hanna hela Ili alitoka wasimsumbue
 
Aisee utawala huu utakumbukwa kwa kuwanyang'anya watu fedha zao aisee wizi mpya kabisaaa alaaa aiseee simjui huyo Mr. Kuku lakini daaah Mungu atampa tena aiseee na ni bado kijana mdogo haswa
 
Uchumi wa kati mkuu
Pesa ni mali ya Bwana yule! Ana ulizia tu nani ana pesa kuanzia 5B .......


Yaani so bad jamani nami nahisi hivyo hivyo................ Refer to Kitlya Shose na Sioi na bado tutayaona mengi hii ni trela bado filam yenyewe
 
Yaani so bad jamani nami nahisi hivyo hivyo................ Refer to Kitlya Shose na Sioi na bado tutayaona mengi hii ni trela bado filam yenyewe
Tuamini tu kila jambo na mwisho wake
 
Hapa wananchi watafidiwaje hasara zao maana kwenye hukumu sijaona ikisema kuwa watalipwaje maana ki msingi hizo fedha ni za wananchi.
Ishatoka hiyooo
Uliza wanachama wa deci mpaka leo kimya
Ila watu hawakomi muda si mrefu itaibuka biashara nyingine walimu kama kawa watapigwa

Ova
 
Jibu alafu utuambie nani tapeli sasa. Serikali ambayo imechukua pesa yote bila kurudishia waathirika na kuua mradi au.

Mr. Kuku ambaye alikuwa na uwezo wa kuwalipa walau wachache na kuendelea na mradi.
Mr kuku amepewa adhabu ya kutaifishiwa pesa za watu alidhorumu ili ziwasaidia watanzania

Suala la kulipa fidia atajuana na wateja wake.
 
Aisee utawala huu utakumbukwa kwa kuwanyang'anya watu fedha zao aisee wizi mpya kabisaaa alaaa aiseee simjui huyo Mr. Kuku lakini daaah Mungu atampa tena aiseee na ni bado kijana mdogo haswa
Kwani hela ya deci ilikuwa utawala gani
Vile

Ova
 
Mkuu, nadhani hata Ulaya kuna kuzuia na kunyang'anya mali na maslahi, interest and asset seizure and forfeiture.

Na pia haijaswmwa kama walipokaa Mr. Kuku na DPP mjadala ulikuwa mrefu au mfupi.
Kuna tofauti kati ya process hiyo Ulaya na Bongo.

Bongo benki hazina hata confidentiality.

Mzee wangu alitaka kutoa hela NMB, millions of USD equivalent, azipeleke Citibank. Kwa sababu NMB hawakuwa na basic confidentiality.

Mpaka wakubwa serikalini wakamsihi asifanye hivyo kwa uzalendo tu.

Sa ujinga kama huo bank kama Citibank NA ni nadra sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…