Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Kisingizio batiliTrue mkuu! Mabenki yenyewe kutoa mikopo yenye riba nafuu ni ishu!
Dogo kajiongeza kwa kutafuta wawekezaji kwa njia isiyo rasmi anaonekana mwizi
Ndiyo maana Africa ni vigumu Sana kuwa tajiri ungali kijana, sababu gape zote za kutusua zimewekewa Sheria Kali makusudi ili vijana tuendelee kusota.
Ripoti TAKUKURU, wanakitengo cha kushughulikia hiyo MIKOPO UMIZA siku hizi.Na wale wanaokopesha pesa za riba kukomoa watu. Mke wangu alikopeshwa milion tatu kalipishwa laki saba na nusu kwa muda wa mwaka na nusu, mi nashangaa wife Hana raha Ana msongo wa mawazo, anaogopa kuniambia, nimekuja kufahamu wife anadaiwa baada ya kushindwa kuendelea kulipa mkopeahaji akaja kumnyang'anya gari. Sijui hata nafanyaje wife arudishiwe pesa yake maana huu ni unyang'anyi
Mzee wako aliingiliwa vipi kisiasa wakati alienda mwenyewe serikalini kusema ana mamilioni ya dola benki ?Hela zilikuwa za mkondo wa taasisi ya kiserikali, aliingiliwa kisiasa.
Due process... Huko Bongo hakuna mifumo iliyokomaa ya kitaasisi, hakuna due diligence.
Wapi nimesema alienda mwenyewe kusema ana mamilioni ya dola benki?Mzee wako aliingiliwa vipi kisiasa wakati alienda mwenyewe serikalini kusema ana mamilioni ya dola benki ?
Kama ni hela za serikali Mzee wako anawezaje kujiamulia azihamishe benki moja kwenda nyingine kwa utashi wake, wewe ni Ridhiwani Kikwete, Makongoro Nyerere, Hussein Mwinyi au Jesca Magufuli?
Hela za serikali kwa nini Mzee wako alitaka miamala yake iwe siri ?
Badala ya kutukana tukana unaposhindwa kutetea hoja yako, nenda kamhoji Mzee wako undani wa masuala yenyewe kabla ya kuja kutueleza habari za Mzee wako alitaka kutoa ma milioni ya dola, ukibanwa unasema sio zake. Sio kila msomaji atabugia mazima kila kilichoandikwa, tegemea kuhojiwa.
Narudi kwenye mada ya Mr. Kuku, sio ya spichi za Kimei na Magufuli.
"Due process....Due diligence" gani hazikuwepo kama mchakato ulihusisha majadiliano ya seizure and forfeiture baina ya Jeshi la Polisi, Mahakama, Mkurugenzi wa Mashitaka na wakili wa Mr. Kuku?
Kwa hiyo unataka kusema kuwa nchini China hakuna Central Bank wala Commercial Banks?Ninawaelewa sana Wachina, pesa yao wana lala nayo ndani. Hakuna bank manager atakaejua balance halisi ya Mchina.
Duniani hakuna nchi yenye serikali inayojielewa kiutawala (utawala bora) itakayokuruhusu kufanya Ponzi Scheme na Pyramid Scheme.Hakuna lolote ni wivu na kuona watu wamebuni namna ya kuendesha miradi huku wakisaka wawekezaji wadogo
Nchi nyingi zinazoitwa "developing countries" huwa zina kawaida ya kubadilisha fedha zao za karatasi na pamba (notes) kwa karibu kila baada ya miaka 10. Hivyo ukitaka kufukia mabilioni ujue hili pia. Na ujue utatumia mikakati ipi kubadilisha fedha bila kushtukiwa na government.Naona tumefika zama za kuhifadhi hela ardhini, kwenye handaki, darini na kwingine sio kwingine maana bank ni RISK SANA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duniani hakuna nchi yenye serikali ya utawala bora itakayokuruhusu kufanya Ponzi Scheme na Pyramid Scheme.
Kwasababu hakuna serikali yoyote duniani inayotaka wananchi wote wawe na hali nzuri kimaisha. Hawatatawalika.Duniani hakuna nchi yenye serikali ya utawala bora itakayokuruhusu kufanya Ponzi Scheme na Pyramid Scheme.
Kwasasa ana miaka 29 akifungwa miaka 5 anatoka akiwa na 34.
Kapoteza mwelekeo.
Mkuu Jela wengi huwa wakitoka wanakuwa kama wamepatwa wenge.Kwahiyo sisi wenye 34 tumepoteza mwelekeo?
Mkuu eti hawa Citibank hawana branch Tanzania mahali kwingine tofauti na Dar Es Salaam?Kuna tofauti kati ya process hiyo Ulaya na Bongo.
Bongo benki hazina hata confidentiality.
Mzee wangu alitaka kutoa hela NMB, millions of USD equivalent, azipeleke Citibank. Kwa sababu NMB hawakuwa na basic confidentiality.
Mpaka wakubwa serikalini wakamsihi asifanye hivyo kwa uzalendo tu.
Sa ujinga kama huo bank kama Citibank NA ni nadra sana.
SawaMkuu Jela wengi huwa wakitoka wanakuwa kama wamepatwa wenge.
Miaka 5 ukirudi mtaani unakuta mambo yamebadilika sana.
Wewe una 34 lakini probably unajua ukiamka unaenda wapi, ila ukitoka jela hali ni tofauti sana
unajaribu kuhalalisha.. Hata hapa Bongo hizo unazoziita crowd funding zipo ila unatakiwa ufuate taratibu za kisheria za Masoko ya Hisa na Mitaji.Amemdanganya Nani wakati kila mwekezaji alikuwa akipata gawio lake km kawaida?
Tatizo jamaa aliintoduce kitu kipya kbsa nchini na watu km wewe kwa kutoelewa mnamuita tapeli wakati huko Nigeria kitu alichofanya dogo ni kitu kilichozoelekakwa miaka mingi wanaita crowd. Funding.
jifunze zaidi kuhusu Ponzi Scheme. Hakuna nchi duniani itakuruhusu ufanye hiyo.Kwasababu hakuna serikali yoyote duniani inayotaka wananchi wote wawe na hali nzuri kimaisha. Hawatatawalika.
Hakuna cha utawala bora
Ninajua Dar tu mkuu.Mkuu eti hawa Citibank hawana branch Tanzania mahali kwingine tofauti na Dar Es Salaam?
Sent using Jamii Forums mobile app