Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

True mkuu! Mabenki yenyewe kutoa mikopo yenye riba nafuu ni ishu!

Dogo kajiongeza kwa kutafuta wawekezaji kwa njia isiyo rasmi anaonekana mwizi

Ndiyo maana Africa ni vigumu Sana kuwa tajiri ungali kijana, sababu gape zote za kutusua zimewekewa Sheria Kali makusudi ili vijana tuendelee kusota.
Kisingizio batili
 
Na wale wanaokopesha pesa za riba kukomoa watu. Mke wangu alikopeshwa milion tatu kalipishwa laki saba na nusu kwa muda wa mwaka na nusu, mi nashangaa wife Hana raha Ana msongo wa mawazo, anaogopa kuniambia, nimekuja kufahamu wife anadaiwa baada ya kushindwa kuendelea kulipa mkopeahaji akaja kumnyang'anya gari. Sijui hata nafanyaje wife arudishiwe pesa yake maana huu ni unyang'anyi
Ripoti TAKUKURU, wanakitengo cha kushughulikia hiyo MIKOPO UMIZA siku hizi.
 
5532890.jpg
 
Hela zilikuwa za mkondo wa taasisi ya kiserikali, aliingiliwa kisiasa.

Due process... Huko Bongo hakuna mifumo iliyokomaa ya kitaasisi, hakuna due diligence.
Mzee wako aliingiliwa vipi kisiasa wakati alienda mwenyewe serikalini kusema ana mamilioni ya dola benki ?

Kama ni hela za serikali Mzee wako anawezaje kujiamulia azihamishe benki moja kwenda nyingine kwa utashi wake, wewe ni Ridhiwani Kikwete, Makongoro Nyerere, Hussein Mwinyi au Jesca Magufuli?

Hela za serikali kwa nini Mzee wako alitaka miamala yake iwe siri ?

Badala ya kutukana tukana unaposhindwa kutetea hoja yako, nenda kamhoji Mzee wako undani wa masuala yenyewe kabla ya kuja kutueleza habari za Mzee wako alitaka kutoa ma milioni ya dola, ukibanwa unasema sio zake. Sio kila msomaji atabugia mazima kila kilichoandikwa, tegemea kuhojiwa.

Narudi kwenye mada ya Mr. Kuku, sio ya spichi za Kimei na Magufuli.

"Due process....Due diligence" gani hazikuwepo kama mchakato ulihusisha majadiliano ya seizure and forfeiture baina ya Jeshi la Polisi, Mahakama, Mkurugenzi wa Mashitaka na wakili wa Mr. Kuku?
 
Wapi nimesema alienda mwenyewe kusema ana mamilioni ya dola benki?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Umeacha kujadili hoja ya lack of confidentiality in Tanzanian banking systems, unarusha matope tu na kutegemea yataganda.

Hela za serikali zote miamala yake ndiyo ikose siri? Unaelewa kwamba unachekesha hapa?

What are you? Part of "The Flat Earth Society"?

You are a hack, you are a partisan, you are a distractor, you are bankrupt when it comes to discussion of issues.
 
Ninawaelewa sana Wachina, pesa yao wana lala nayo ndani. Hakuna bank manager atakaejua balance halisi ya Mchina.
Kwa hiyo unataka kusema kuwa nchini China hakuna Central Bank wala Commercial Banks?
Kwamba Wachina hawana akaunti za Benki eeh?
 
Hakuna lolote ni wivu na kuona watu wamebuni namna ya kuendesha miradi huku wakisaka wawekezaji wadogo
Duniani hakuna nchi yenye serikali inayojielewa kiutawala (utawala bora) itakayokuruhusu kufanya Ponzi Scheme na Pyramid Scheme.
 
Naona tumefika zama za kuhifadhi hela ardhini, kwenye handaki, darini na kwingine sio kwingine maana bank ni RISK SANA
Nchi nyingi zinazoitwa "developing countries" huwa zina kawaida ya kubadilisha fedha zao za karatasi na pamba (notes) kwa karibu kila baada ya miaka 10. Hivyo ukitaka kufukia mabilioni ujue hili pia. Na ujue utatumia mikakati ipi kubadilisha fedha bila kushtukiwa na government.
Mfano: Kwa Tanzania hapa, noti ya Tsh. 10,000 iliyokuwepo kwenye mzunguko mwaka 1999 ni tofauti na iliyokuwepo 2004 na vile vile ni tofauti na iliyokuwepo 2014.
Don't get me wrong: My point is, noti hubadilishwa, hivyo kuchimbia mabilioni ni risk sana.
Cha muhimu ni kuwa na akaunti nyingi za kibenki katika nchi tofauti tofauti ambazo utajiridhisha mwenyewe kuwa zina sharia madhubuti katika kulinda pesa zako.
Lakini pia tusihahau kuwa katika nchi yoyote ile kama utapatikana na HATIA kwa makosa yanayohusiana na Utakatishaji Fedha (money laundering), Ponzi Scheme, Pyramid Scheme, Drug Money ( cocaine, heroin, ecstasy etc.) basi serikali ya nchi husika ita-FREEZE BANK ACCOUNTS zako zote na hata kuzichukua pesa zote zilizomo katika akaunti pia.
Let's not forget that, all the money (notes, coins etc) are the properties of the Government, What we (citizens) own is just the VALUE of that money, technically we don't own the money, but we own the Value of that money.
There is no way you will escape it, The money technically belongs to the System, The System has the RULES, the System is the Government, SO PLAY SAFE, PLAY BY THE RULES. ila siyo mbaya kuvunja "rules" kidogo ilmradi usishikwe tu!!
 
Kwahiyo sisi wenye 34 tumepoteza mwelekeo?
Mkuu Jela wengi huwa wakitoka wanakuwa kama wamepatwa wenge.

Miaka 5 ukirudi mtaani unakuta mambo yamebadilika sana.

Wewe una 34 lakini probably unajua ukiamka unaenda wapi, ila ukitoka jela hali ni tofauti sana
 
Kuna tofauti kati ya process hiyo Ulaya na Bongo.

Bongo benki hazina hata confidentiality.

Mzee wangu alitaka kutoa hela NMB, millions of USD equivalent, azipeleke Citibank. Kwa sababu NMB hawakuwa na basic confidentiality.

Mpaka wakubwa serikalini wakamsihi asifanye hivyo kwa uzalendo tu.

Sa ujinga kama huo bank kama Citibank NA ni nadra sana.
Mkuu eti hawa Citibank hawana branch Tanzania mahali kwingine tofauti na Dar Es Salaam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Jela wengi huwa wakitoka wanakuwa kama wamepatwa wenge.

Miaka 5 ukirudi mtaani unakuta mambo yamebadilika sana.

Wewe una 34 lakini probably unajua ukiamka unaenda wapi, ila ukitoka jela hali ni tofauti sana
Sawa
 
Amemdanganya Nani wakati kila mwekezaji alikuwa akipata gawio lake km kawaida?

Tatizo jamaa aliintoduce kitu kipya kbsa nchini na watu km wewe kwa kutoelewa mnamuita tapeli wakati huko Nigeria kitu alichofanya dogo ni kitu kilichozoelekakwa miaka mingi wanaita crowd. Funding.
unajaribu kuhalalisha.. Hata hapa Bongo hizo unazoziita crowd funding zipo ila unatakiwa ufuate taratibu za kisheria za Masoko ya Hisa na Mitaji.
 
Kwasababu hakuna serikali yoyote duniani inayotaka wananchi wote wawe na hali nzuri kimaisha. Hawatatawalika.
Hakuna cha utawala bora
jifunze zaidi kuhusu Ponzi Scheme. Hakuna nchi duniani itakuruhusu ufanye hiyo.
 
Serikali ya CCM saiz wezi tu. Hizo nil 5.4ni za wananchi,walipaswa kuridishiwa. Siku hizi ukifikishwa mahakamni kama una pesa ni eidha uwape au ufie jela
 
Back
Top Bottom