Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

Serikali ilijua Mze wangu anataka kutoa mamilioni ya dola NMB kwa sababu wakubwa wa NMB walilalamika serikalini.

Wewe unafikiri process ya kutoa millions of dollars hela za umma ni kuzoa tu gunia la hela na kuondoka nalo? Obviously kuna banking process.
Mbona unauliza maswali ya kingumbaru?

Kwani wapi nimesema wamechukua hela hizi bila mjadala mrefu?

Unajua kusoma kwa ufasaha?

Mbona maswali yako yamejaa logical non sequitur?
 
Kwani wapi nimesema wamechukua hela hizi bila mjadala mrefu?

Kiranga: Kuweka hela benki za Tanzania ni risk. Muda wowote wakizitaka wanazichukua. Bila mjadala mrefu.

Sasa unakubali kwamba hujui kama kulikuwa na mjadala mfupi au mrefu kabla ya kuchukua hela akaunti ya Mr. Kuku? Ili usilazimike kumeza maneno yako mwenyewe chakata unachotaka kuandika kabla ya kukirusha hewani.

Mchakato wa seizure and forfeiture unaofanyika Ulaya ndio huo huo uliofuatwa kwenye kesi ya Mr. Kuku.

Hujajibu: Mzee wako alikuwa na utashi gani wa kujiamulia kuhamisha hamisha mamilioni ya madola ya umma na kutaka usiri, alikuwa Rais? Alikuwa anaficha nini?
 
Sasa pesa BOT ikafanye nini??.... si walipwe waliotapeliwa
Na hapo umewaza vema lakini tatizo tuna watu janja janja, hii tz haina ukweli na uwazi wala huruma kwa watu wake, taifa linanyonywa na wenye madaraka not fair kwa citizen, watu watasema mambo yapo sawa lkn ukiangalia citizen wapambanaji wananyonywa sana.
 
Aiseee umenipanua akili mkuu, benki za kitanzania ukiwa bilionea tu wakizitaka wanazichukua, ishu ni wana kubunia mbinu.
 
Wewe ngumbaru hujui kusoma kwa ufahamu.

You fill this thread with your narrowminded logical non sequitur after another.

Nimekwambia benki za kibongo CEO anasema wazi anamuogopa sana Magufuli na atafanya chochote atakachosema Magufuli.

Kimei wa CRDB kasema hivyo.

Sasa hapo kuna banking integrity?

Magufuli akimwambia lete hizo za Mr. Kuku tuunge juhudi CEO wa kibongo ataweza kukataa kwa principles za banking integrity?

Wacha kujishebedua wewe.

Wewe acha kubwabwaja ovyo hapa.
 

Mada ni kesi ya Mr. Kuku. Hatuongelei Kimei kasema nini wala Magufuli kaamuru nini.

Hela za Mr. Kuku hazikuamuliwa kuchukuliwa kwa amri ya Kimei wala Magufuli. Mchakato wa kipolisi, kimahakama, kikurugenzi ya mashitaka na kiofisi ya wakili wa Mr. Kuku ulitumika.

Umekurupuka kukosoa mifumo ya kibenki ya Tanzania kwenye kesi iliyofuata utaratibu.

Eti "due process..."Due process gani haikufutwa, huna jibu.

Unasema "huko Tanzania mabenki bla bla bla..." Huko Tanzania ?

Unapataje uthubutu wa kukosoa watu wanaopambana kuboresha mifumo ya kibenki ya nchi ambayo wewe huitumii, huijui, umeikimbia na haikuhusu? Pilipili ya shamba kwa nini inakuuma?
 
Wewe si mpanga mada hapa.

Usikimbie hoja kwamba benki za Bongo hazina integrity.
 
Nasubiri nini kukimbia nchi

Yaani niwe na Bl-5 katika acc zangu za bank then niendelee kuishi Tanzania nitakuwa nimerogwa au!? Kichaa?
Watu huish wanapopatia pesa anaelekea ww michongo ya pesa hupatikani nayo .
Migodini sehemu ovyo sana lakini watu wanapiga pesa na kuishi huko .
Tanzania pia kama mgodi tu
 
Usikimbie hoja kwamba benki za Bongo hazina integrity.
Kesi hii haikufaa kuisemea kuhusu tatizo la uaminifu wa benki zetu.

Mchakato wa kimahakama, kikurugenzi ya mashtaka na kipolisi ulifuatwa katika kuzuia na kutwaa hela kwenye akaunti ya Mr. Kuku kama ilivyo Ulaya.

Kwa hili, taratibu, mifumo, utumishi na uongozi ulioratibu unastahili pongezi.
 
Watu huish wanapopatia pesa anaelekea ww michongo ya pesa hupatikani nayo .
Migodini sehemu ovyo sana lakini watu wanapiga pesa na kuishi huko .
Tanzania pia kama mgodi tu
Argument yako hii imekaa kienyeji Sana .. watu huishi inapopatikana pesa lakini watu wanaojitambua huishi sehemu yenye mazingira salama kwaajili ya kuzilinda Rasilimali zao ... Sio kweli kila mtu anaye ingiza pesa kupitia madini anaishi migodini wanaoishi migodini wengi Ni wale watu ambao Ni hohe hahe matajiri wait wanaishi kwenye sehemu salama mgodini wanakwenda tu kama sehemu ya kazi
 
Kuchukua hizp Bil 5 bila kuwarudishia waliotapeliwa nao NI UTAPELII MKUBWAA TU...!! Haina kupepesa macho hiyooo...
 
Banking system ya Tanzania haina integrity.

Ndiyo maana CEO wa CRDB Kimei kasema anamuogopa sana Magufuli na atafanya lolote analoagizwa na Magufuli.

Maneno ya aibu kwa mwanamme kusema kuhusu mwanamme mwenzake.
 
Kuitia hasara serikali wakati wametia 5 billions kibindoni!

Aliyepata hasara hpo ni Mr kuku na wawekezaji wake

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kushinda kesi kwa mahakama izi zinazopewa maelekezo? Tena kesi yenyewe serikali ina maslahi nayo, hpo kwa vyovyote vile asingeshinda.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…