Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Serikali ilijua Mze wangu anataka kutoa mamilioni ya dola NMB kwa sababu wakubwa wa NMB walilalamika serikalini.Serikali ingejuaje kwamba Mzee wako anataka kuondoa mamilioni ya madola NMB bila ya yeye kuwaambia ? JIBU!
Kama walimuomba asiyatoe ina maana alikuwa na utashi wa kuyatoa. Kwa nini hakuyatoa kimya kimya? JIBU!
Umesema "Kuweka hela benki za Tanzania ni risk. Muda wowote wakizitaka wanazichukua. Bila mjadala mrefu."
Umejuaje DPP, Mahakama, Polisi na Mr. Kuku wamechuku hela hizi bila mjadala mrefu? JIBU!
Wewe unafikiri process ya kutoa millions of dollars hela za umma ni kuzoa tu gunia la hela na kuondoka nalo? Obviously kuna banking process.
Mbona unauliza maswali ya kingumbaru?
Kwani wapi nimesema wamechukua hela hizi bila mjadala mrefu?
Unajua kusoma kwa ufasaha?
Mbona maswali yako yamejaa logical non sequitur?