Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

Labda wale wanaomdai wamshtaki huyo Bwana Kuku kwa kosa la kuwatapeli ambapo bado itakuwa ni jinai vile vile.

Wakifungua Kesi ya madai nayo naonaga ni michosho sometimes !

Njia za mkato ktk kutafuta kutoka kimaisha huwa na matatizo kama hayo!
 
Labda wale wanaomdai wamshtaki huyo Bwana Kuku kwa kosa la kuwatapeli ambapo bado itakuwa ni jinai vile vile.

Wakifungua Kesi ya madai nayo naonaga ni michosho sometimes !

Njia za mkato ktk kutafuta kutoka kimaisha huwa na matatizo kama hayo!
Duh wakimshtaki mr chicken atawalipa nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Labda wamkomoe tu

Ova
 
Hii serikali ina mambo ya kichoko sana. Sasa huyu kijana angetaka mtaji wa kufanyia hiyo biashara wangempatia.....?!

Yaani wanachukuliaje maisha simple kiasi hicho?! Hivi kwani kuna mtu akiyewafuata kuwalalamikia kuwa hiyo biashara imedhulumu pesa yake yoyote, sasa huo ujasiri wa kusema biashara ni ya upate wanatoa wapi?!

Huu ni usng period, hii serikali haina jema na wananchi na ni ma alien kutoka sayari nyingine yamekuja kututawala. Yaani yana kera haya majitu, yanakera matako yao......
 
Hapo ni wivu ndio umetembea hakuna hoja ya maana. Wanasema sijui mtu kacheza upatu.... Huo upatu wao unawahusu nini wao mbona wanacheza upatu na manunuzi ya wapinzani kuna sheria inawaruhusu wao kununua upinzani kuwarubuni waje CCM?!
 
Tariq amesema anaanza tena biashara yake! Nasubiri MANG'OMBE YAPIGWE TENA.

Tarehe 18 January 2021 ,MANYUMBU mnaitwa na tariq mkanunue hisa tena ,zile pesa mlizowekeza mwanzo imekula kwenye ,kasema haziwezi kulipwa tena kwa mujibu wa sheria.
 
Sasa unamwambia mtu hamdaiani halafu unamwambia aje kuwekeza kwenye saccos yetu mpya ambayo itasimamiwa na uongozi ule ule wa Mr. Kuku farm?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Duh aiseee inataka moyo kukubaliana na uhalisia. But dhambi sana.
 
Hii ndio ccm mpya ,yenye magumashi ya kila aina account yako ikisoma salio nono lazima walitamani,kisha wanakutengenezea msala wanakubutua kama kombolela,baada ya kukusafisha wanakuacha uende ukafie mbele huko
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha yaani kirahis rahisi tu mtu anasema sisi ni wahalifu na ninyi wawekezaji wetu ni wahalifu pia so hatudaiani...... Manina.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii serikali ya CCM ya sasa mkoloni ana afadhali.
Kiufupi wote ni wahalifu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!! Tuendelee kujifukiza tu
 
Kama alilipa nampa pole
 
Kwaio manji bado iko pesaπŸ˜ƒ, basi mwambieni arudi atuokoe watoto wa jangwani tumenyanyasika sana
 
Kwaio manji bado iko pesa[emoji2], basi mwambieni arudi atuokoe watoto wa jangwani tumenyanyasika sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasikia kikwete kampigia simu jamaa yake arudii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…