syllae
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,793
- 1,919
WoiiiNaunga mkono hoja aisee, what is 5 years over 5b, pia kumbuka mashtaka yanaonyesha alikusanya zaidi ya 17 b. My comfort option is 5 years.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WoiiiNaunga mkono hoja aisee, what is 5 years over 5b, pia kumbuka mashtaka yanaonyesha alikusanya zaidi ya 17 b. My comfort option is 5 years.
Kwa serikali gani? Umesahau ishu ya desi?Kwahio hio pesa ikichukuliwa na Jamuhuri itawapatia waathirika wa huo upatu au ndio watakua wameshiriki kwenye ujenzi wa taifa?
Mkuu Mandela ana stori tofauti kabisa.Mkuu kuna mtu kam mandela alifungwa miaka 27 na hakupoteza ndo iwe iyo miak mitani au kumi??
Ya mungu mengi mkuu
si ndio hapo sasa,serikali DPP wezi tu nao sema wao wanaiba ki professionalSasa pesa BOT ikafanye nini??.... si walipwe waliotapeliwa
Hivi unaamini Ukiwekeza mil. 7 unaweza pata mil 50 kwa mwaka?Hakuna lolote ni wivu na kuona watu wamebuni namna ya kuendesha miradi huku wakisaka wawekezaji wadogo
Alibaba hajawahi chukua hela ya Wafanyabiashara.....modal ya biashara yake ni kuunganisha mteja na mnunuzi .investors wamewekeza kwenye biashara yake inayopata faida ,sio upatu wa kukusanya hela za watu na kuwalipa hela zinazokusanywa kwa wengine ok?Alibaba angekuwa hapa, saa hizi yuko lupango maana hana duka ila anauza bidhaa sio zake, hiyo ni piramidi scheme na uhujumu uchumi mkubwa..
Kweli isingeweeza kufika mbali maana haiwezekani uwekeze mil7 upate mil 50 kwa mwaka...Kosa ni kuendesha Pyramid scheme, baadae sana watu wengi wangelia. Ni kama Qnet na Rifaro au Deci
Ponzi scheme ni utapeli tu, maana wale wa mwisho lazima wakose watu wa kuingiza na hapo pesa yao ndio imekwendaHivi hizi habari za kutapeliwa mnazitoa wapi?
Maana hta mashtaka yake hayahusiani na yeye kuwatapeli watu!
😂 ukidai utashitakiwa kwa kushiriki utakatishaji wa pesa!Kwahio hio pesa ikichukuliwa na Jamuhuri itawapatia waathirika wa huo upatu au ndio watakua wameshiriki kwenye ujenzi wa taifa?
Mbuzi kafia kwa muuza bucha 😀😂 ukidai utashitakiwa kwa kushiriki utakatishaji wa pesa!
Uchumi wa kati mkuuMbuzi kafia kwa muuza bucha 😀
Kwaiyo kazi ya watu wa kipenyo ndio hizo pamoja na kwenye kuraHamjui kitu. Mr Kuku ni Afisa Kipenyo huyo
Tunajenga stigilazi goji.Kwahio hio pesa ikichukuliwa na Jamuhuri itawapatia waathirika wa huo upatu au ndio watakua wameshiriki kwenye ujenzi wa taifa?
Kina Chenge si kama hawana akili pesa zao ziko visiwa vya Jersey.Kuweka hela benki za Tanzania ni risk.
Muda wowote wakizitaka wanazichukua.
Bila mjadala mrefu.
Uliziona?Kina Chenge si kama hawana akili pesa zao ziko visiwa vya Jersey.
Una mawasiliano yake huyu mtu? Niko interested sana kufanya naye uwekezaji kwa mtaji wangu.Kashaachiwa mchana huu