Mr Nice: Sina UKIMWI ila nililishwa sumu wakati wa kampeni.

Nmekutana na hii kitu insta
 

Attachments

  • 1478369959727.png
    118.7 KB · Views: 231
Rafiki yangu ni daktari kwenye kitengo, aliniambia usije ofisini tuonane sehemu nyingine yeyote, ukija pale jioni watu wanaanza kupeana habari kuwa na wewe ni muathirika.
Naona kuna umuhimu wa kuanzisha Uzi kuusu watu wenye vvu wanapo kwenda kuchukua madawa kuna mengi tungesikia mm binafsi nimegundua kwanini wasichana wengi wana mabaibui yani mavazi ya kiislamu japo ni wakristo ujizoesha kuyavaa kwa kuwa huwa saidia kuficha sura wakati wanaenda kuchukua dozi za ARV
 
mkuu hata kama mvua inanyesha watu wanavaa sun glasses.
 
Ni kwasababu hakuna sheri zinazobana uvujishaji wa siri, nchi za ulaya ukivujisha siri ya mgonjwa kama ni mfanyakazi unapoteza ajira, awe daktari, nurse, au mwandika makadi wa mapokezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…