atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Msanii wa kwanza bongo kumiliki benzi Kama sikoseiDaah dogo kachezea maisha,ngoja maisha yamchape.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msanii wa kwanza bongo kumiliki benzi Kama sikoseiDaah dogo kachezea maisha,ngoja maisha yamchape.
Sasahivi hata bajaji hana.Msanii wa kwanza bongo kumiliki benzi Kama sikosei
Nmekutana na hii kitu insta
Alisaliti chadema ya wachàgaHahahahahaha hii dhambi yenu itawatafuna daima, si ulisema Chadema ni ya Wachaga? Sasa wachaga wamuwekee sumu mchaga mwenzie???
Marehemu Diana Aston Villa.Yule dada aliezaa na Mr Nice mtoto wa kiume alikuwa Lilian Internet au Diana Aston Villal?
Chanzo cha kifo Ni TB siyo?Marehemu Diana Aston Villa.
Na alikuwa anaenda na marafiki na wapambe bar,yeye ndiyo mnunuzi...sasa wote wamekimbia.Msanii wa kwanza bongo kumiliki benzi Kama sikosei
Kama ulikuwa hujui. ...watu mliozaliwa tumbo moja ndio watu ambao at least wanaweza baki na wewe mpaka mwisho... wengine wote oya oya tuNa alikuwa anaenda na marafiki na wapambe bar,yeye ndiyo mnunuzi...sasa wote wamekimbia.
Tena wapambe ndiyo wa kwanza kuelezea zile siku za mwanzo za anguko lako.Kama ulikuwa hujui. ...watu mliozaliwa tumbo moja ndio watu ambao at least wanaweza baki na wewe mpaka mwisho... wengine wote oya oya tu
aise duuuuNasikia jamaa alikuwa hana noma, hata kaka poa alikuwa anasomba.
mmmmh wewTena unasukumia hata na glass ya beer mambo mswano.
Naona kuna umuhimu wa kuanzisha Uzi kuusu watu wenye vvu wanapo kwenda kuchukua madawa kuna mengi tungesikia mm binafsi nimegundua kwanini wasichana wengi wana mabaibui yani mavazi ya kiislamu japo ni wakristo ujizoesha kuyavaa kwa kuwa huwa saidia kuficha sura wakati wanaenda kuchukua dozi za ARVRafiki yangu ni daktari kwenye kitengo, aliniambia usije ofisini tuonane sehemu nyingine yeyote, ukija pale jioni watu wanaanza kupeana habari kuwa na wewe ni muathirika.
mkuu hata kama mvua inanyesha watu wanavaa sun glasses.Naona kuna umuhimu wa kuanzisha Uzi kuusu watu wenye vvu wanapo kwenda kuchukua madawa kuna mengi tungesikia mm binafsi nimegundua kwanini wasichana wengi wana mabaibui yani mavazi ya kiislamu japo ni wakristo ujizoesha kuyavaa kwa kuwa huwa saidia kuficha sura wakati wanaenda kuchukua dozi za ARV
Na kofia cape au pama na ndevu za bandia naona watakuwa wanapata kozi kwa joti jinsi ya kujibadilishamkuu hata kama mvua inanyesha watu wanavaa sun glasses.