Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860
Hawa ni jamaa zangu na ni ndugu zangu hapa JF Long time sijawaona kabisa wakipita njia hii.
Sio wengine bali ni maswaiba zangu Mr Rocky na utafiti mara ya mwisho niligongana nao kule jukwaa la picha about four month ago kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusu afya za hawa ndugu zetu atujuze hapa. kiwatengu ni mpwa wake na Mr Rocky naye kapotea kabisa
Nimekuwa na wasiwasi na hawa ndugu zetu maana miezi kadhaa iliyopita hii nchi ilikumbwa na majinamizi ya ajali za ovyo ovyo sana,walinusirika?napenda kujuwa kwa mwenye taarifa
Au nao ni wagombea wamerudi majimboni kujiimarisha?