Mr Rocky, Utafiti na Kiwatengu wapo salama? Mwenye taarifa plz

Mr Rocky, Utafiti na Kiwatengu wapo salama? Mwenye taarifa plz

Mkuu Kibo10 nipo salama kabisa aise ni mapambano tuu yametufanya tupotee ila kiafya tuko salama kabisa kiwatengu sijamsikia kabisa wala mkuu utafiti wala Tized na mwenzake Mndengereko sijui wameibiwa password zao za simu na kuna huyu Erickb52 nae sijui kapotelea wapi
Ukija upande mwingine Watu8 nae na Preta sijui wamepotelea wapi na huku kabanga na MO11 sijui wamefichwa wapi ICHANA na Honey Faith na Heaven on Earth pia sijui wako wapi miss chagga mambo yako mwambie Kisambo aje humu

Mkuu nashukuru kama upo salama sikuona hii mapema maana sipati notifications na ni tatizo la muda sasa
Kama uzima upo tunashukuru kiongozi
 
Last edited by a moderator:
Vale nimekutext viber ila jaribu kumuuliza yule jirani yangu nilimuaga maana wewe hukuwepo nyumbani

Ooh viber nilifutilia mbali nimeona mizinguo tu. Ngoja nikamuulize yule jiranii mwaya. Ila unamisikajee lol
 
Nipo Brother, Umeadimika sana aisee. Natumai kila kitu kiko mahala pake kaka. Nikutakie kheri.
Mkuu Kibo10 nipo salama kabisa aise ni mapambano tuu yametufanya tupotee ila kiafya tuko salama kabisa kiwatengu sijamsikia kabisa wala mkuu utafiti wala Tized na mwenzake Mndengereko sijui wameibiwa password zao za simu na kuna huyu Erickb52 nae sijui kapotelea wapi
Ukija upande mwingine Watu8 nae na Preta sijui wamepotelea wapi na huku kabanga na MO11 sijui wamefichwa wapi ICHANA na Honey Faith na Heaven on Earth pia sijui wako wapi miss chagga mambo yako mwambie Kisambo aje humu
 
Tized salama kabisa aise. Umeadimika sana mkuu ila naamini na kwako mambo yako salama aise. Kibo10 salama kabisa mkuu. Mambo yanaenda salama kabisa. Honey Faith ushapata simu yangu aise kiwatengu salama mkuu Watu8 pambana mkuu ndio mpango mzima
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom