Tized salama kabisa aise. Umeadimika sana mkuu ila naamini na kwako mambo yako salama aise. Kibo10 salama kabisa mkuu. Mambo yanaenda salama kabisa. Honey Faith ushapata simu yangu aise kiwatengu salama mkuu Watu8 pambana mkuu ndio mpango mzima
Ooh viber nilifutilia mbali nimeona mizinguo tu. Ngoja nikamuulize yule jiranii mwaya. Ila unamisikajee lol
I love you hny!!
umewamiss wapi!! kina nani?
zaidi ya 'Valentina'?
Pamoja sana Tized tutafutane bana
umewamiss wapi!! kina nani?
zaidi ya 'Valentina'?
uko wapi mkuu ndugu yangu au umekwenda kwa akina Passion Lady?
utakuwepo tarehe 8/8 kwenda kuwaona wagonjwa saaratani pale ocean road? mkuu
umepotelea wapi wewe binamu yangu
ha ha nipo mkuu, aisee nimebanana kupita kiasi
mkuu utafiti sijui atakuwa mitaa ipi.
Tokea ampe miss neddy ujauzito hataki kujionyesha ..
kuna huyu mpango wake wa kando Honey Faith jana tulikutana sehemu.ll
ll
Pokeeni salamu za wife wangu
shansarie.
Hii siku ikifika mkuu unishtue nijumuike
aisee Mungu anisaidie kukumbuka kukushutua si ungenipa kilongalonga nikutwangia maana hapa naingia kwa nadra sana
Mmmh ntakutonya
Umeadimika kweli
my luv kweli nimeadimika ni shughuli za kikubwa zimenibana bestito
tuko poa sana mkuu Judgement ulipotelea Goma nini karibu tena mkuu