Mdogo wangu ni kupotea basii ! Ni mihangaiko tushughulishwayo na hii Planet ndiyo itupotezayo
kiwatengu ! Btw niwape a huge Congra wewe na my wife wako
shansarie kwa kukomaa kisawasawa na hii forum ! Mna mfano wa kuigwa! Majority tulishatepeta mjue !