October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Mwalimu acha mkwara😄😄😄.
ikulu itahamia chalinze msoga
Mwalimu hyo ni mipango ya muda mrefu.wameshajipangaAnitazame hivihivi
Kunyeni macchakani wajinga nyieMmebana kila mahali. Sasa hata kunya tu mnataka kutubania. Kumbukeni kunya ni haki ya msingi ya kila MTU. NI fundamental universal human rights. Baneni kila kitu ila msitunyime kunya. Mkithubutu tu kufanya hivyo believe me patachimbika maamae.
Uumbwaa adriz
Mwalimu hyo ni mipango ya muda mrefu.wameshajipanga
Write your reply...mikwara ya kipumbavu kama unajiamini nenda kamuambie ana kwa ana
Wewe HAMUWEZI kikwete.amemshindwa magufuli utamuweza wewe?Aendelee kujiandaa asidhani tumesahau. Kituo kinachofuata yeye
Sasa hivi hana lolote. Janabi hayuko nchini hana Tena Access ya mzena.Wewe HAMUWEZI kikwete.amemshindwa magufuli utamuweza wewe?
Wewe HAMUWEZI kikwete.amemshindwa magufuli utamuweza wewe?
🤣🤣🤣.hyo mkwere ana WATUUU.oya ikulu inatoka kizimkazi inahamia msogaSasa hivi hana lolote. Janabi hayuko nchini hana Tena Access ya mzena.
🤣🤣🤣.hyo mkwere ana WATUUU.oya ikulu inatoka kizimkazi inahamia msoga
Au tunaweka abdulTutaona
Au tunaweka abdul
Pole pole sukuma gang,mkwere msoga gang wapi na wapi?Wala
Yeye mr tabasamu ndiye alikuwa nyuma ya kina Polepole. Alafu baada ya kuona yupo karibu kugundulika ndio amefanya yaliyotokea
Mbona Polepole ndie alikuwa mstari wa mbele kumsema vibaya?Wala
Yeye mr tabasamu ndiye alikuwa nyuma ya kina Polepole. Alafu baada ya kuona yupo karibu kugundulika ndio amefanya yaliyotokea