GE2025 Mr. Tabasamu usijisahaulishe. Nakukumbusha baada ya uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe.

GE2025 Mr. Tabasamu usijisahaulishe. Nakukumbusha baada ya uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe.

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mange juzi alisema Harakaharaka alikuwa anaenda kuiokoa kijani kwa 100%.

Akasema Harakaharaka alikuwa na vita na Kimama tu, ila ni mfia kijani.

Now imeanza ku-make sense.

Ajitazame wakati huu zaidi
 
Kwa JK nyie bado sana tena sana Mama anamuita JK boss wake nyie mnajazana Upepo yule ni Master mind ana watu kila sehemu hata ulipo wapo kama hamataki Kumaliza miaka 5 mingine chezeni na huyo mtu

Huelewi kitu
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Toa huu ujinga hapa ..Kuna mada sensitive hapa ..
 
Mipango yako tunajua hujaisitisha. Kule kujishusha kwako tunajua ulikuwa mtego lakini mtego mabua usioweza kumkamata hata panya. Nakukumbusha tuu baada ya huu uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe. Kama unafikiri 2030 utamweka yule kijana wako hilo wazo futa. Nitazame hivihivi ukiniona. Habari unayo. Na bado
Wanzazibari mmeamua kutunyoosha wabara haya ila kuimba kupokelezana mnaujua huo msemo?
 
Wasio na vichogo gang hawamuwezi mzee wa town, wala hawawezj kuthubutu Kuanziasha vita nae. Hizi hekaya zako wapate washamba wenzio
 
Wasio na vichogo gang hawamuwezi mzee wa town, wala hawawezj kuthubutu Kuanziasha vita nae. Hizi hekaya zako wapate washamba wenzio

mbona hata yeye kama kichwa bapa au macho yangu tu ? …
 
Tatizo ma jini mengi mno anamiliki ni ngumu kumpata kabla hujamfikia au unamuwaizia hiko yeye kashajua
 
Back
Top Bottom